Line-up nzuri ndugu hasa hapo kwa AG umempatia vizuri Lissu.Ila Deo Filikunjombe kaingiaje hapo? Anyway, natamani sana Richard Mabala ateuliwe mbunge ili aongoze wizara ya elimu akisaidiwa na Wenje.
kutakuwa na mawaziri kamili 15 (badala ya 30 wa sasa) na deputies 18 (badala ya 23 wa sasa).
uteuzi huu umezingatia kazi zaidi - so vigezo kama gender, dini, jiografia, etc havijapewa nafasi badala yake nawaachia wengine wanaooamini kuwa vina manufaa yoyote.
Rais: Dr Slaa / Prof Lipumba
PM: Dr Slaa / Prof Lipumba
AG: Tundu Lissu
Mawaziri:
1. Fedha & uchumi: Freeman Mbowe (2 deputies mmojawapo atoke Zbar aka CUF)
2. Ulinzi: James Mbatia (deputy atoke Zanzibar aka CUF)
3. Kilimo, mifugo na uvuvi: Deo Filikunjombe (deputy Silinde)
4. Mawasiliano & Uchukuzi: David Kafulila (2 deputies)
5. Miundombinu: Machali / Mkosamali (mmoja waziri mwingine naibu wake)
6. Katiba & sheria: Prof Safari
7. Elimu (levels zote ikiwemo VETA): Wenje (2 deputies wa UKAWA)
8. Nishati, Maji & Madini: John Mnyika (2 deputies)
9. Mambo ya nje (pamoja na EAC): John Mrema (deputy atoke Zbar aka CUF)
10. Habari, Vijana, Utamaduni & Michezo: Jenerali Ulimwengu (deputy Julius Mtatiro)
11. Ardhi & makazi: Halima Mdee (deputy Mr Sugu)
12. Mambo ya ndani: Mabere Marando (deputy Godbless Lema)
13. Tourism, Industry & Trade: TBA (2 deputies)
14. Afya & Ustawi: TBA
15. Kazi na ajira (idara ya civil service humu nayo): TBA (1 deputy)
Engineer. Habib Mnyaa lazima akae sehemu
kutakuwa na mawaziri kamili 15 (badala ya 30 wa sasa) na deputies 18 (badala ya 23 wa sasa).
uteuzi huu umezingatia kazi zaidi - so vigezo kama gender, dini, jiografia, etc havijapewa nafasi badala yake nawaachia wengine wanaooamini kuwa vina manufaa yoyote.
Rais: Dr Slaa / Prof Lipumba
PM: Dr Slaa / Prof Lipumba
AG: Tundu Lissu
Mawaziri:
1. Fedha & uchumi: Freeman Mbowe (2 deputies mmojawapo atoke Z'bar aka CUF)
2. Ulinzi: James Mbatia (deputy atoke Zanzibar aka CUF)
3. Kilimo, mifugo na uvuvi: Deo Filikunjombe (deputy Silinde)
4. Mawasiliano & Uchukuzi: David Kafulila (2 deputies)
5. Miundombinu: Machali / Mkosamali (mmoja waziri mwingine naibu wake)
6. Katiba & sheria: Prof Safari
7. Elimu (levels zote ikiwemo VETA): Wenje (2 deputies wa UKAWA)
8. Nishati, Maji & Madini: John Mnyika (2 deputies)
9. Mambo ya nje (pamoja na EAC): John Mrema (deputy atoke Z'bar aka CUF)
10. Habari, Vijana, Utamaduni & Michezo: Jenerali Ulimwengu (deputy Julius Mtatiro)
11. Ardhi & makazi: Halima Mdee (deputy Mr Sugu)
12. Mambo ya ndani: Mabere Marando (deputy Godbless Lema)
13. Tourism, Industry & Trade: TBA (2 deputies)
14. Afya & Ustawi: TBA
15. Kazi na ajira (idara ya civil service humu nayo): TBA (1 deputy)
Sio Cabinet mbaya..., ila sijamwona 'goliath' wa 'Elephant Desntist' - Kinana, yaani Mh Mch Peter Msigwa! ile namba nyingine!...Pia tusiwasahau NCCR wenzetu, nahisi ukiacha Mbatia & Kafulila, wapo pia vichwa wengine wanafaa kuingizwa hapo palipo na 'TBA's'...