My Credits to All WOMANS!

ELNIN0

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
4,161
1,460
IMAGINE:

ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza
anakuelewa, anakusamehe halafu anasahau!!!

UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini
baadayeanakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni
kuchukiwaatachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia
chakula,unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.

UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine
unagomakutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua.
Walahalalamiki!

CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, unataka huduma. Unamrukia,
hamnamaandalizi unamuumiza. Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena
inawezatokea hii; hana kinyongo!

UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo,nguo za ndani, suruwale
imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua
janazimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi janakashasahau nakukusamehe!

UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto
anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majinaatakayotumiamtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtotomwinginena mwingine tena!

Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE,
WANAVUMILIA!Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!

HIVI INGEKUWA WANAUME WANAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?

Kwa leo acheni tu niwape heshima wanawake wote!!

I SALUTE AND LOVE U ALL WOMEN!
 
Inaelekea nilitema mapointi sana. Naona inarudiwa tu hapa!!!!!!!!
 
Sijajua kama ishatoka hapa JF, lakini pia ni nzuri kwa wale ambao hawajaiona waione, to me still credits!!
 
Sijajua kama ishatoka hapa JF, lakini pia ni nzuri kwa wale ambao hawajaiona waione, to me still credits!!
Hahaha! Ilishatoka skuli meti.
Ndio ilinipa Senksi ya kwanza na ya mwisho toka kwa Woman of Substance!
 
Hii kitu hadi kwenye emails nimefowadiwa.Naanza kuhisi na wewe uli-plagiaraiz sehemu fulani.

am afraid so!!!

mchumbao aseme aliitoa wapi...........vinginevyo itakuwa kama wimbo wa malaika sasa........
 
am afraid so!!!

mchumbao aseme aliitoa wapi...........vinginevyo itakuwa kama wimbo wa malaika sasa........

Na mie naungana na wewe kumsihi atueleze alikoitoa.
au ndio mambo ya hangover yanamfanya awe kichwa namna hiyo( na huu ukoo umejaa vichwa tupu....)!!!!
 
EL NINO, Sikuiona ilivyowekwa na CHRISPIN lakini ni nzuri nimeipenda, Pia wanawake ndio wametufikisha hapa tulipo( Mama zetu), wametulea kwa upendo na maadili na ndio maana tupo hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom