zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,803
- 36,371
Alitumika kisa nini? Kwani JPM alikua hana mpinzani zaidi ya "mtandao" pekee?Kama sio basi alikubali kutumika na wanamtandao. Hili liko wazi sana!
IPO siku Lissu atakuja kuombea radhi hili hadharani.
Nani angewakamata? Yeye mwenyewe Magufuli?Sasa kama JPM hahusiki mbona wauwaji hawakukamatwa? Hivi JPM alivyokua anaogopwa vile na mkatili vile angeshindwa mfahamu muuaji wa Lissu?
Tunachofanya ni kujadili possibilities.Alitumika kisa nini? Kwani JPM alikua hana mpinzani zaidi ya "mtandao" pekee?
Lissu alikua na interest zake, mtandao interest zao na JPM interest zake. Wao kutokuelewana doesn't mean wote wana agenda moja!! Ndio maana Membe alienda ACT na bado Lissu hakumuunga mkono
Realistically lissu ni chadema na JPM ni CCM ulitaka Lissu amuunge mkono mwenyekiti wa chama pinzani na chake? Hell no hata CCM kuna mazuri iliiga chadema ila haijawahi pongeza hadharani kwa hofu ya kuwapa umaarufu wapinzani wao!! So I don't expect hata siku moja Kamala kumsifia Trump hata akitekeleza yote aliyotaka maana ni chama pinzani.Shaka inakuja pale Lissu alipoamua kusimama kinyume na Magufuli hata kwa mambo ambayo mwanzoni aliyakemea.
Angelambishwa asali angekua kinyume na Mbowe? Unadhani kwanini Mbowe alikua kipenzi cha watawala kuliko Lissu? Nani ni mtandao hapo? Lissu alikua na malengo ya urais na moja wapo ni kutompongeza mshindani wako period.1. Kama hakulambishwa asali na Wanamtandao, basi alikuwa miongoni mwao.
Kumbe kumpinga hasimu wako kidemokrasia ni kukosa akili? Tanzania hatuelewi demokrasia kabisa. Ni hivi ukienda USA, UK, Afrika Kusini, Kenya n.k kuna majimbo ambayo chama tawala haiwezi kushinda hata ingejenga lami mpaka sebuleni. Ndio maana hata Mandela licha ya umaarufu wote alishinda urais wa Afrika kusini kwa 62% pekee maana yake karibu nusu ya nchi haikumchagua!! Nao walikua hawana akili?2. Kama hakuwa mwanamtandao, basi utimamu wake kichwani na hata uaminifu wake una shaka kubwa.
Amuombe radhi wa nini? Hata mimi namuona Samia hafai kuongoza hata kwa siku moja, na pia naamini JPM alikua anachapa kazi sana ila angekua hai bado ningempigia Lissu kura kama nilivyofanya 2020 na hiyo ndio demokrasia3. Kama Lissu ni mwerevu na mzalendo wa kweli, binfsi bado naamini IPO siku ataomba radhi hadharani juu ya nyendo zake wakati wa Magufuli.
wana mtandao sio wanamtambao.Kwamba wanamtandao wakaondoa Askari kwenye makazi ya viongozi pale area D, pamoja na CCTV? Kwamba wakazuia uchunguzi usifanyike baada ya tukio? Kwamba wakazuia matibabu na kumfuta Lissu ubunge?
Aaah Nyaningabu, you used to be intelligent and remarkable critical thinker, where have you put that an outstanding brain of yours?!!!!!
Yaani Rais wa nchi mwenye usalama wa taifa wote ashindwe kujua nani alimuua Lissu au Saanane?? Seriously? Do you think he was that weak?Nani angewakamata? Yeye mwenyewe Magufuli?
Na kwa nini asishindwe kuwajua? Magufuli alikuwa anajua kila kitu?
Ndiyo!Yaani Rais wa nchi mwenye usalama wa taifa wote ashindwe kujua nani alimuua Lissu au Saanane?? Seriously? Do you think he was that weak?
JPM angekamata hata Kheri James tu maana alikiri kuwa jaribio la pili hawatotumia SMG bali watatumia sindano ya sumu kumuuua lissu!!! Mtu kama huyo humkamati alafu unasingizia mtandao.
With all due respect, Sikujua kukaa nje ya nchi with all that exposure, you still afford to be as dumb as a commoner from itabagomba
1. Mimi ni Mtanzania, nitakutoa akili kama utaamua kupinga jambo sahihi kwa heshima ya chama chako, iwe CDM au CCM. Na hiyo akili kwamba ukiwa chama pinzani hupaswi kuunga mkono chochote kwa chama hasimu ndio mentality inayowafanya wanasiasa wawageuzi wananchi kuwa mazezeta. SIO MIMI.Realistically lissu ni chadema na JPM ni CCM ulitaka Lissu amuunge mkono mwenyekiti wa chama pinzani na chake? Hell no hata CCM kuna mazuri iliiga chadema ila haijawahi pongeza hadharani kwa hofu ya kuwapa umaarufu wapinzani wao!! So I don't expect hata siku moja Kamala kumsifia Trump hata akitekeleza yote aliyotaka maana ni chama pinzani.
Angelambishwa asali angekua kinyume na Mbowe? Unadhani kwanini Mbowe alikua kipenzi cha watawala kuliko Lissu? Nani ni mtandao hapo? Lissu alikua na malengo ya urais na moja wapo ni kutompongeza mshindani wako period.
Kumbe kumpinga hasimu wako kidemokrasia ni kukosa akili? Tanzania hatuelewi demokrasia kabisa. Ni hivi ukienda USA, UK, Afrika Kusini, Kenya n.k kuna majimbo ambayo chama tawala haiwezi kushinda hata ingejenga lami mpaka sebuleni. Ndio maana hata Mandela licha ya umaarufu wote alishinda urais wa Afrika kusini kwa 62% pekee maana yake karibu nusu ya nchi haikumchagua!! Nao walikua hawana akili?
Amuombe radhi wa nini? Hata mimi namuona Samia hafai kuongoza hata kwa siku moja, na pia naamini JPM alikua anachapa kazi sana ila angekua hai bado ningempigia Lissu kura kama nilivyofanya 2020 na hiyo ndio demokrasia
Kujua ni Jambo jingine na kuchukulia hatua ni jambo jingine. Tambua hilo.Yaani Rais wa nchi mwenye usalama wa taifa wote ashindwe kujua nani alimuua Lissu au Saanane?? Seriously? Do you think he was that weak?
JPM angekamata hata Kheri James tu maana alikiri kuwa jaribio la pili hawatotumia SMG bali watatumia sindano ya sumu kumuuua lissu!!! Mtu kama huyo humkamati alafu unasingizia mtandao.
With all due respect, Sikujua kukaa nje ya nchi with all that exposure, you still afford to be as dumb as a commoner from itabagomba