Mkuu punguza makasiriko, sisi tuliosoma Chini ya mwembe tusiwakasirikie waliosoma Shule Kwa kupelekwa na School bus.Mhhhhhhhhhhhh!!!!!! TOTO la kike linajiskia hili.
Unajikuta sana.
Eti kwamba umeishi wingereza sana au? mfyuuuuuu..
Don't take that serious, Kuna watu humu wanapenda kucomment utani sana ili kuficha Identity zao.Nafikiri tuna wimbi kubwa la watu wazima wasiojua kusoma.
Kuna watu wamesema uzi haueleweki wamejilazimisha mwingine anasema tatizo ni lugha.
Hawa ni watu watakaopata watoto na watatakiwa kuwalea.
Kaka yako nani sasaKaka kwani ukiandika kiswahili mwanzo mwisho hatutajua kuwa umesoma???
Ila Mkuu tujitahidi kusomesha vijana wetu Shule nzuri, Kwa kufanya hivyo unamjengea mtoto kujiamini kukabiliana na mazingira yote ya baada ya Shule ikiwemo exposure.Mr Grahams hapo hamna kitu, huyo mleta mada pengine ndo alisoma chini ya muembe akabrashiwa na Ras Simba, sasa ndo anakifanyia mazoezi.
uliona wapi aliesoma school bus au aliyeishi wingereza anaushamba kama huo?
siku zote mwenye nacho hajioneshi kiivooo maana huchukulia ni mambo ya kawaida, na ni kawaida yake ashazoea kuwa nacho
ila sasa, ambaye hana akipata looh!!!! tena pengine cha kudoea au cha kupewa atavojitapa, kujiskia na kujionesha, yani mpaka mtaani mwao watamkoma na kumtambua yeye ni nani.
Msikimbie majukumu Grahams 😁😁😁Pole sana Mkuu Kwa changamoto uliyopitia pia hongera kuweza kukabiliana nayo.
Madhara ya Uviko -19 yalikuwa ni makubwa zaidi kiuchumi hasa Kwa sekta ya Utalii, Elimu hasa wale Maagent wa vyuo vya Nje pamoja na biashara Kwa ujumla kutaja Kwa uchache.
Kwa Upande wa Watumishi, walishindwa kupandishwa madaraja wala Kuongezwa mishahara Uviko -19 ikiwa miongoni mwa sababu zilizochochea.
Ila yote kwa yote, unastahili pongezi zangu. Nyie ndiyo wale wanawake ambao tunaweza kudate Mwaka Mzima hujaniomba hela kwa kuwa Unajua mwenyewe kuzitafuta 👏👏💪🙊🏃🏃🏃
Sio kukimbia, napenda yule anayejiongoza. Anakwambia babe ninataka kufanya biashara X, unamsikiliza then unampa mtaji. Baada ya hapo hakuna kudaiwa Kodi, Wala kuombwa hela ya saluni.Msikimbie majukumu Grahams 😁😁😁
Dada kuwa mpole maisha yaendelee.Mr Grahams hapo hamna kitu, huyo mleta mada pengine ndo alisoma chini ya muembe akabrashiwa na Ras Simba, sasa ndo anakifanyia mazoezi.
uliona wapi aliesoma school bus au aliyeishi wingereza anaushamba kama huo?
siku zote mwenye nacho hajioneshi kiivooo maana huchukulia ni mambo ya kawaida, na ni kawaida yake ashazoea kuwa nacho
ila sasa, ambaye hana akipata looh!!!! tena pengine cha kudoea au cha kupewa atavojitapa, kujiskia na kujionesha, yani mpaka mtaani mwao watamkoma na kumtambua yeye ni nani.
sawa dada nimekuelewa dada angu.Dada kuwa mpole maisha yaendelee.
Hao mnaokotaga wap, haaa haaaa king'amuzi, Ada., sabuni ya kuogea. Huyo mtu ni kiweteSio kukimbia, napenda yule anayejiongoza. Anakwambia babe ninataka kufanya biashara X, unamsikiliza then unampa mtaji. Baada ya hapo hakuna kudaiwa Kodi, Wala kuombwa hela ya saluni.
Sio Demu anayekuomba hela ya kila kitu kuanzia Kodi, bili ya Umeme/King'amuzi Ada n.k