My confession

Hili jitu halijitambui hata kidogo.
 
Siinga'ang'anii
Sema jamaa lenyewe twakutana kwenye kazi sometimes,inaninyima raha,inanikumbusha ya kale
Zaid nahofu lisije ropoka liliwahi date nami na hiyo situation,kwani Wengi wanijuao hawamjui wala hawajui Kama niliwahi toka naye
 
No need to tell him labda miaka 20 ijayo ila sio Leo au hivi karibuni
Ikitokea akajua ukwel kabla sijamwambia je?
He is a very loving man,and ananiamini sana
Very handsome, charming,ananikubali sana
Si bora asikie toka kwangu kabla majitu hayaja mletea umbea?
And I love him,sisemi yuko perfect ila kama ni mwanaume Mungu alinipa
Tatizo hiyo Siri niloitunza mweeeh
 
Ataambiwa na nani?who else knows more than u?!!!jifunze vingine kufa navyo mwenyewe... Mpenzi kuna siri za kusema na za kukaa kimya

Haijalishi anakupenda na kukujali vipii!!akiambiwa kataaa....for good reasons
 
Ahahahhahahahah me nakaa mtwara mjini huko chikongola Sijui wapi hata sikujui.... Huwezi amini nipo mtwara muda tu ila naff hotel nimepajua wiki iliyopita[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kaaah!!we nomaa!![emoji23][emoji16][emoji3]haya wasalimie Shangani kwa mabosi hukoo!!wewe mvivu kutembea!
 
Kaaah!!we nomaa!![emoji23][emoji16][emoji3]haya wasalimie Shangani kwa mabosi hukoo!!wewe mvivu kutembea!
Hahahahahahah kumbe waijua mtwara eeeh[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kwenye uvivu wa kutembea sasa yaani nisipoenda chuo sitoki nje kutwa nzima....mpaka wapangaji wengine wananiona Nina roho mbaya jamani dooooh
 
Nimekaa nilikua km wewe nilipoanza kuijua mtwara mwezi uliofuata nkahama...
 
Ataambiwa na nani?who else knows more than u?!!!jifunze vingine kufa navyo mwenyewe... Mpenzi kuna siri za kusema na za kukaa kimya

Haijalishi anakupenda na kukujali vipii!!akiambiwa kataaa....for good reasons
Kha eti nikatae
Una loho ngumu wewe
Anyways hope haitofika huko
 
Hapana huko siyooo maisha magumuuu rahisi chumvi tu kila kitu juu
Shogaaa kumbe uliliona hilo eeeeh jamani mtwara mweeeeeeh huu mji hapana ....sabuni nusu kg 4000 jamani hatari kwakweli huku bidhaa bei zake sio rafiki tu
 
Siinga'ang'anii
Sema jamaa lenyewe twakutana kwenye kazi sometimes,inaninyima raha,inanikumbusha ya kale
Zaid nahofu lisije ropoka liliwahi date nami na hiyo situation,kwani Wengi wanijuao hawamjui wala hawajui Kama niliwahi toka naye
Acha utoto.... Miaka yote hiyo na umeshaolewa aje aseme amwambie nani. Hebu tulia dada unajuaje kama mmeo na yeye ametolesha wasichana alio date nao?! Atakudharau na kuona upo kama wale aliiwapitia zamani.. Umeona some comments humu wanasema waliwatolesha wasichana mimba nyingi na kuwaona hawafai kuolewa... Ila mtu akichagua wa kumuoa anamuheshimu na hataki kujua maisha yake ya nyuma. ACHA WENGE... Let bygone be bygone.
MMEO INAWEZEKANA HATA SASA AMEMTOLESHA MIMBA MCHEPUKO WAKE.. SASA WEWE KUJIDAI MTAKATIFU UNATAKA KUMWAMBIA STORY YA MIAKA KUMI ILIYOPITA. acha kujiendekeza
 
Acha mapepe dada... Kwani mmeo ni malaika aliyepotea njia ya mbinguni au binadamu hawahawa wa kiume? Grow up girl aaaghh!!!
 
Pole sana.
 
Shogaaa kumbe uliliona hilo eeeeh jamani mtwara mweeeeeeh huu mji hapana ....sabuni nusu kg 4000 jamani hatari kwakweli huku bidhaa bei zake sio rafiki tu
Hukoo hapana kwa kweli sipataki hata kwa bahati mbaya miyee...yaani huko kila kitu juu!nilikua napata hasira balaa....!!!sikutaki hata kwa bahati mbaya hukoo!wakae wenyewe wamakonde
 
Ni juzi tu ulikua nao watatu ukiwa hujui utulie na yupi. Tayari umeshakua na mmoja na ameshakua baba watoto?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…