"My confession"

"My confession"

Tatizo vivulana vya humu kila kamoja kakileta chai yake lazima kaweke neno "Chuo cha Dar"
"Gari"
au "Demu mkali"
Sijawahi kuona kameandika labda kanauza mkaa

Chuo gani mnafundishwa kuandika
*kazaa,muuzuriaji, hifathi ya serengeti,swala,bikra,uwongo,apa?
Japo siwaamini sana wanawake ila apa umenena japi bado sina uhakika
 
Fupi tamu bana ndefu inachosha kusoma[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Tatizo vivulana vya humu kila kamoja kakileta chai yake lazima kaweke neno "Chuo cha Dar"
"Gari"
au "Demu mkali"
Sijawahi kuona kameandika labda kanauza mkaa

Chuo gani mnafundishwa kuandika
*kazaa,muuzuriaji, hifathi ya serengeti,swala,bikra,uwongo,apa?
Mkuu ulutaka niweke mtwara wakati sipo niliposoma.
 
Wana jf sorry kwa kuwaweka ni mambo yalikuwa yametight kidogo nitaendelea baadae saa nane, na lengo la simulizi hii si kujisifia au kuonekana kidume nachotaka watu wajifunze hasa wanaume kuwa pale mwenzi wako anapokuthamini nawe mthamini.
 
Unazingua jamaa. Mi mod ujue nitakupiga ban ukidanganya tena
 
Wana jf sorry kwa kuwaweka ni mambo yalikuwa yametight kidogo nitaendelea baadae saa nane, na lengo la simulizi hii si kujisifia au kuonekana kidume nachotaka watu wajifunze hasa wanaume kuwa pale mwenzi wako anapokuthamini nawe mthamini.
mfyuuuu nakusubiria
 
Mkuu sasa ulipoamua kuzama chumvini a.k.a uvinza uligundua madini joto yalikuwepo ya kutosha au?
 
Tatizo vivulana vya humu kila kamoja kakileta chai yake lazima kaweke neno "Chuo cha Dar"
"Gari"
au "Demu mkali"
Sijawahi kuona kameandika labda kanauza mkaa

Chuo gani mnafundishwa kuandika
*kazaa,muuzuriaji, hifathi ya serengeti,swala,bikra,uwongo,apa?
Tuvivumilie ndivyo vilivyolelewa vimeiga kutoka kwa ninyi kaka zao
 
Wana jf sorry kwa kuwaweka ni mambo yalikuwa yametight kidogo nitaendelea baadae saa nane, na lengo la simulizi hii si kujisifia au kuonekana kidume nachotaka watu wajifunze hasa wanaume kuwa pale mwenzi wako anapokuthamini nawe mthamini.
Ukuje basi jamaa uendelee maana saa nane hii hapa!!! Ka story kazuri sana haka!!!
 
Back
Top Bottom