My Confession - Nimepima UKIMWI

Hongera kwa kupata ujasiri wa kwenda kupima..Iwe fundisho kwako na kwa wengine wanaoendekeza ngono zembe!!

Ama kwa hakika kwa sabau hata mimi kufikia uamuzi huu ilikuwa ngumu sana ila namshukuru Mungu pia kwa kuniongoza
 
Mutasingwa Wayne!


Bazazi!
Anasema kuwa
Mkamia maji hayanywi,
Akinywa yatamkwama
Yasipomkwama atatapika.​
Nakwambia hamu uliyonayo
Kwa Hakika Dhakari haitadinda.
Ikidinda njoo hapa jamvini utujuze.

Bazazi


Mkuu Bazazi umemaliza aisee coz jana hata hamu ilikata kabisaa na yeye sasa hivi namwona kama shetani tuu yaani siamini mtu kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Naona 24hrs imeshapita, tume matokeo, vipi ulimla kama ulivyoahidi? yeye alikupa ya kwake? maana na wewe ni kiruka njia nambari moja, koma kuwaita dada wa wenzako viruka njia. Asante
 

kumbuka waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, ufunuo 21.8, mithali 28.13, luka 1.77, Mungu amekunusuru kuambukizwa ili ujue yeye alivyomwema kwako kuliko ww, sasa usiendelee kujivuna na kumtusi kwa kufanya uasherati. Tubu dhambi zako uokolewe ili upewe uwezo wa kushinda dhambi yohana 1.11-12
 
ni rehema za Mungu zmekuokoa.acha njia mbaya na umshukuru Mungu coz kpma ni jambo gumu sana
 
ku confess peke yake hakutakusaidia, unatakiwa u repent kabisa halafu usitende dhaambi tena!
 
Imebidi nicheke hadi nifunike mdomo.
Hongera sana na umshukuru Mungu pia.

Wenzio tukijua tumenusurika huwa hatutumii tena hayo makitu;
labda kwa makubaliano maalum.
 
huku uswazi tunawaita makeria.
Hivi jamani si tunaambiwa kupima urudi baada ya miezi 3 tena wanakuandikia kabisa nyuma ya kikadi tarehe ya kurudi.
Huyu mwenzetu vipi haelewi hilo?
Aaaaa kweli elimu ya ukimwi ni ngumu
wala sio ngumu kama unavyodhani ila tu kuna jambo ambalo wengi hamlielewi.
Kipimo cha Ukimwi kilichopo mahospitalini kwa sasa kinauwezo wa kujua maambukizi hata kama ni ya siku moja.
zamani ilikuwa kunasemekana kuna window period hii ilisababishwa na aina ya kipimo kilichokuwa kinatumika lakn kwa sasa pcr is doing the best na yenyewe inatumia biosensor. usiogope
 
Ee Mwenyezi Mungu, nipe hiyo nguvu niweze kupima... i have tried n tried n tried! Naona kama nitazirai huko hospitali...
Dawa ya watu kama ww ufanyiwe hivi....
 
Last edited by a moderator:
hongera mkuu ila kua makini sana, ni wengi wanakua na uhakika wiki 1 inayofuata unahalibu ANGALIZO ; usirudie makoroni yako ya mwanzo ukiwa na mawazo ya wao pia ni wazima hiyo ni reema ya mungu umeipata mzee
 
Naona 24hrs imeshapita, tume matokeo, vipi ulimla kama ulivyoahidi? yeye alikupa ya kwake? maana na wewe ni kiruka njia nambari moja, koma kuwaita dada wa wenzako viruka njia. Asante

Hahaa mkuu kwani hamu ninayo tena!!Sasa hivi kila nayemwona namuona mgonjwa tu.
 
By Philipo: Hongera Sana Kaka!"Mchumia Juan Hulia Kivulini" Angalia Usije Kulia Juan Tena.You Have To Change Ur Previous Life.
 
Duuu sasa utajua kwanin condom ni muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…