Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,891
Hujakosea mkuu kupima ngoma kipaji,mwenyewe kama wewe tu najipimiaga kwa niiowagegeda wotee negative basi najiona kidumee
huku uswazi tunawaita makeria.
Hivi jamani si tunaambiwa kupima urudi baada ya miezi 3 tena wanakuandikia kabisa nyuma ya kikadi tarehe ya kurudi.
Huyu mwenzetu vipi haelewi hilo?
Aaaaa kweli elimu ya ukimwi ni ngumu
Mutasingwa Wayn, kupata maambukuizi ya VVU ni kazi ngumu sana, naona haukujua hilo!
Kivipi mkuu, jebu weka wazi usaidie na wengine!!! Ingekuwa ngumu tungekuwa na ongezeko kubwa la watu wenye VVU kiasi hiki? tupe elimu.Mutasingwa Wayn, kupata maambukuizi ya VVU ni kazi ngumu sana, naona haukujua hilo!
Kwani kipimo cha Elisa hakimaki mtumiaji kurudi baada ya miezi mitatu? Na Elisa Test inatofautiana vipi na zile Rapid Test za VVU? Tunaomba Elimu Mkuu hapa.Katumia kipimo cha Elisa...
Hata kutumia Condom ni kipaji.
Hivi ukimwi una mahusiano gani na kidonda kuwahi au kuchelewa kupona??? Nilifikiri masuala ya kidonda kuchelewa kupona au kutopona kabisa yanatokana na kisukari. Hebu tufafanulie zaidi hapa mkuu.!
!
UKIMWI haupimwi mkuu, unHkikiahwa tu, na ndio maana majibu ni mawili tu unao au huna. Vitu vinavyopimwa ni uzito, urefu na kadhalika. Na kilichokutuma ukajitoa muhanga hivyo nini!.............ukitaka kujua kwa urahisi jikate upate kidonda then angalia speed ya kupona baaaasi
sasa mbona mshauri ajakwambia unatakiwa kupima mara ngapi?
Amekwambia kama kuna window period?(kipindi dirisha?
Ingekuwa positive ungekuja kutusimulia? Just thinking aloud.
Go n sin no more, rehema ya Mungu imekuponya!
Hongera ila hata kama huyo bibie mzma usicheze peku, huwezi jua jana na juzi alipita wapi.
Pole kwa kuish kwa waswas na hongera kwa kupata majibu mazuri
Anza maisha upya na umshukuru sana Mungu
Unaweza kulala na bundi ukamka mwenye bahati, ila usijaribu tena kumtembeza kamanda bila gwanda kwenye pori la pamba, utakuje ulie bahati hiyo huwa haijirudii..all and all big up nazani maisha unayona mtamu kweli..
Mutasingwa Wayne!Wadau, Niko na huyu mtu hapa Sanitas tunaenda kupima niko na full confidence nikikuta tu hana leo hii hii namla.