My Confession: Mazoea huzaa tabia

My Confession: Mazoea huzaa tabia

unamalizia saa ngapi au lini haja haka ka-story?
pili kwanini mliwekeana masharti ya kupigwa risasi kwa yeyote anayerudi kwenye Land-Rover
mpaka jamaa bila kuangalia akakupiga za bega

Nahisi ndo imeishia hapo bro Ukwaju.

Hatukuwekeana masharti ila sisi tulitaka kuwakamata wakiwa hai ili kwanza tupate taarifa zaidi na pili wafikishwe mbele ya haki. Lengo letu si kuua bali kufanikisha ukamataji.
 
Last edited by a moderator:
Dah Mentor alistahili na alistahili more than that kwa alichomfanyia huyo binti aise
Dah pole sana kwa maumivu ya kupigwa risasi ya bega

Mkuu Mr Rocky, mtu wa hivi unamkata kidogo kidogo mpaka mwili wote uishe.

Aiseee...inauma sana..imagine it's ur daughter daaah

Usinfanye nikumbuke tena...nitalia!

Uyo jamaa anastaili kifo..tena achinjwe kwa msumeno butu

Ewaaaa...ila kabla ya kumkata unamuonjesha dozi ya alichokuwa anakifanya. Unaanza kumlawiti na karoti...gunzi...muhindi...hivyo hivyo unagraduate mpaka aseme ameelewa somo!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kama kawaida yako mkuu, ni simulizi ya majonzi ingawa mwishoni umetuacha na sintofahamu!
 
Kama kawaida yako mkuu, ni simulizi ya majonzi ingawa mwishoni umetuacha na sintofahamu!

Hahaha mkuu Ficus hiyo sintofahamu imalize kwa imagination tu!
 
Last edited by a moderator:
inahuzunisha sana...huwa natamani wabakaji na walawiti wapewe adhabu ya kunyongwa kabisa..machozi yanatiririka doh.Hongera pia kwa uandishi mzuri.
 
inahuzunisha sana...huwa natamani wabakaji na walawiti wapewe adhabu ya kunyongwa kabisa..machozi yanatiririka doh.Hongera pia kwa uandishi mzuri.

...ingawa wataalamu wa afya wanasema eti wanakuwa na 'psychological problems' sijui lakiniiii
 
Mentor umeenda kumpa dereva wa bodaboda lift na zawadi Kama yeye alivyokuwa akimpa mtoto wa 8yrs, au umeenda kumwambia Mungu ampende zaidi?
 
Last edited by a moderator:
...ingawa wataalamu wa afya wanasema eti wanakuwa na 'psychological problems' sijui lakiniiii

yawezekana...ukiwa na akili zenye utimamu iliyojaa utu wa kibinadamu hauwezi kufanya hivyo.Jamii pia imetowekwa na upendo,nampenda Shabani Robert aliposikitia kutoweka huko kwenye Mapenzi Bora
"Mioyo yetu na utu
Wanayo wanyama mwitu
ya kwao sasa ni yetu
Maskini ya Mapenzi"
Haki mengine tuyafanyao yanawazidi wanyama...
 
Mkuu pole kwa mkasa Wa kupigwa risasi. Pia nakupa salute kwa kujitoa mpaka kuhakikisha huyu muuaji unamtia mikononi na kumpeleka mabwepande.
 
Malizia basi..... Mentor

tatty labda unitafute private nikuhadithie, la sivyo, you are free to imagine!

Mentor umeenda kumpa dereva wa bodaboda lift na zawadi Kama yeye alivyokuwa akimpa mtoto wa 8yrs, au umeenda kumwambia Mungu ampende zaidi?

Hahahah Bujibuji, (a) na (b) yote sawa!

yawezekana...ukiwa na akili zenye utimamu iliyojaa utu wa kibinadamu hauwezi kufanya hivyo.Jamii pia imetowekwa na upendo,nampenda Shabani Robert aliposikitia kutoweka huko kwenye Mapenzi Bora
"Mioyo yetu na utu
Wanayo wanyama mwitu
ya kwao sasa ni yetu
Maskini ya Mapenzi"
Haki mengine tuyafanyao yanawazidi wanyama...

#justEchoing

"Mioyo yetu na utu
Wanayo wanyama mwitu
ya kwao sasa ni yetu
Maskini ya Mapenzi"

Ila swali kwako dada womanity, je, mgonjwa anastahili tiba au adhabu ya kifo!???

Mkuu pole kwa mkasa Wa kupigwa risasi. Pia nakupa salute kwa kujitoa mpaka kuhakikisha huyu muuaji unamtia mikononi na kumpeleka mabwepande.

Asante kwa hayo ya mwanzo mkuu kunguni wa ulaya,

Ila hapo kwa 'mabwepande' pulizi usintafutie kesi....nimeshastaafu nakula pensheni!!!!
 
Last edited by a moderator:
tatty labda unitafute private nikuhadithie, la sivyo, you are free to imagine!

Hahahah Bujibuji, (a) na (b) yote sawa!

#justEchoing

"Mioyo yetu na utu
Wanayo wanyama mwitu
ya kwao sasa ni yetu
Maskini ya Mapenzi"

Ila swali kwako dada womanity, je, mgonjwa anastahili tiba au adhabu ya kifo!???

Asante kwa hayo ya mwanzo mkuu kunguni wa ulaya,

Ila hapo kwa 'mabwepande' pulizi usintafutie kesi....nimeshastaafu nakula pensheni!!!!
Acha bwana.. Ndo nini kutuonjesha kiduchu hivyo? Tabia mbaya hiyo Mentor , umeishia patamu kweli!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom