My Confession: Mazoea huzaa tabia

My Confession: Mazoea huzaa tabia

Hiii n stor kama zlvo za kina shigongo....bint wa kulawitiqa lazma awe na ukimwi pia ili nogesha stori hahahajahaha

But its a true story mkuu...kweli kabisa na sitanii...nimebadili details ila content ya kilichomtokea binti ni ukweli mtupu and nothing but the truth!

Dah binadamu hatuna huruma

The mammal inside us!

Inauma sana co cr
Napiga picha ya mtt ahaaa basi tu binadam tumekosa ubinadam

Sasa heri wewe unapiga picha mimi mpaka leo sijasahau ile moment kwa daktari akiwa anamkagua ili aandike ripoti!

Kwa hiyo kesi ikaishia hapo, na ile ripoti ukatokomea nayo?

Closed with NFA!

Tam iyo kama uchi wa malaya wa sinza

Mh! Mkuu...UKIMWI UNAUA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom