Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 4,636
- 15,250
Kwanini sasa umewataja mastaa wa bongo kua hawawezi kataa? kwani wao hawajali utu kama wewe? kama wewe na huyo mwingine mngeweza kukataa kwanin mastaa wetu na wao wasikatae?Utu ni bora kuliko pesa...... kama kuna mtu alikataa mimi ni nani nishindwe na najua ukiomba kwa jina la yesu kira kitu unakipata