Nashukuru pia nimefanikiwa kwa kiasi Fulani kuhandle yoga na hofu ndani yangu.Dah we mrembo mjanja sana. Unanifukuza kijanja sio? Mi siogopi wala nini, mtongozo uko palepale.
HIV sio ugonjwa
HIV sio kifo
HIV ni upungufu wa kinga mwilini. Usiingiwe na hofu ukikutwa HIV+
Ishi kwa matumaini... kula vizuri, pumzika vya kutosha, mazoezi ya wastani... Hakika utaushuhudia uzee wako ukiwa na afya yako
Tuko pamoja mrembo wangu,hakuna unyanyapaa wala nini.