My Confesion: Nilitoa Mimba

Hivi uhai wa mwandamu unaanzia wapi? tumboni au akizaliwa tu na kuvuta pumzi?
 
Duh i like your comfession. Mimi kinachoniumiza kichwa kila siku ni kwamba inaonekana rate kubwa ya wanandoa ndio wanaongoza kwa kutoa mimba. Kwanini inakua hvi? Kipi kinatokea mpaka upo ndani ya ndoa na utoe mimba? Kwanini tunaogopa sana tunavyoonekana na watu kuliko Mungu wetu? I hate abortion kwakweli and i will never approve of it unless mwenye mimba ana matatizo ya kiafya na solution pekee kuokoa maisha ni kuterminate the pregnancy.
 
ilikua saa sita na nusu mchana siku ya Ijumaa......nipo nyumbani baada y akutoka kufundisha Tuisheni mbali kidogo na nyumbani........unaikumbuka likizo ya Mkapa enzizile ukimaliza form 6 unakaa zaidi ya mwaka nyumbani..ndoiyo!!

sasa basi akaja binti na uniform zake..katoroka school,namwangalia kama kanenepa ivi kidogo,ni binti mzuri kwa kweli...
nampokea kwa kumbatio heavy as i used to love that first Girlfriend of Mine,hapo binti yupo Form Four..mwezi wa Sita ivi..
Binti akanipa live anahisi kuwa ana ujauzito..tukapime.NI mtoto wa mchungaji na kwao ni sheria kali..ukizingatia ni first born..

kufika mjini tukapima mtoto kweli ni mjamzito..miezi miwili.Daktar kuona ile Uniform akajua ni wakusoma..akaadvise tutoe,garama ni 15,000...nikajadiliana na binti akapropose tutoe pia..sikupenda..nilitamani nitoroke..niljua ni dhambi kubwa...nilizidiwa nguvu..ikabidi nikubali kuitoa.....akatoa ile mimba......bahati ilitoka bil amatatizo....tukarudi nyumbani..nikamsindikiza hadi kwao...after a week akarudi shuleni.......ingawa baada ya mimi kwenda chuo uhusiano wetu haukuendelea..ila hadi leo bado tunapendana (kaka na dada :peep:..kaolewa na ana mtoto mmoja sasa...

huwa naikumbuka sana iyo situation n akuniumiza sana moyo wangu........natamani isingewezekana kuw ahivyo..ila haiwezekani.......

haya wale woote hapa mliowahi/mnaotarajia kutoa au kushawishi kutoa ujauzito...kiri na utubu kwenye thread hii...
mimi nilishakiri na kumuomba Mungu anisamehe...but is not bad to share it with you

Unakusudia tuungame ili tutubu au tujilabu(kujisifu)? Ninavyoona wenzangu wa dini yapili huwa wanakiri na kutubu faragha chini ya kiongozi wa dini na kwa upande wangu kutubu hakutaki kutangaza bali ni kutia nia kwa Mola wako kuwa unakiri ulifanya dhambi na kuahidi kuwa hutorejea tena. Hii haihitaji kutangaza.
Iwapo unataka tueleze madhambi yetu(pengine kama kumbukumbu) basi kwangu mimi niliwahi kupiga chabo kwa jirani yangu nilipoanza kuharibu godoro!
 
I didn't want to, but she insisted! Blinded by love, i supported her! Thanks God everything worked out fine. Mungu Nisamehe!
 
I didn't want to, but she insisted! Blinded by love, i supported her! Thanks God everything worked out fine. Mungu Nisamehe!

She didn't want to,but I insisted! Blinded by love,she supported me! Thanks God everything worked out fine. Mungu Nisamehe!
 
Back
Top Bottom