Kevin yupo Airte wanamuita bwana mapesa,nadhani anasimamia kitengo cha biashara,ila hawa niliowabold nao ni macelebrity..??Mbona nimesoma nao na ninawajua vizuri na sikuuona huo ucelebrity ..??
Umeongea nilichotaka kusema kwani mtu kama baraka hajawahi kuwa celeb!labda angesema matozi wa slipway miaka hiyo na pia dar es salaam miaka hiyo kila kitongoji kilikuwa na wakali ila si hawa!!!....wakali wa kinondoni miaka hiyo ya 90...ally one,patrick nyembera,nuru chaduma,nasoro mwanamboka,bamvua,