Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 5,897
- 4,442
Heche #1: kwani kusema "tutakinukisha kweli kweli" okt 29 ndo kufanya vurugu?!!! Ile ilikuwa kauli ya kisiasa kupinga uonevu katika uchaguzi, tulikuwa tunataka mabadiliko. Hakuna sehemu Mwenyekiti aliwaambia watu waingie mabarabarani na kuharibu Mali za watu na miundombinu......{more blah blah blah}.
Heche #2: {akiwa very serious}aliyesema hakutokuwa na nyi nyi Wala nywinywinywi ndiye aliyeua watu okt 29. Kwani nani alisema hivyo, si ni yeye?!!! Basi yeye ndo ameua watu.
Fvck politikisi!!!!!
Heche #2: {akiwa very serious}aliyesema hakutokuwa na nyi nyi Wala nywinywinywi ndiye aliyeua watu okt 29. Kwani nani alisema hivyo, si ni yeye?!!! Basi yeye ndo ameua watu.
Fvck politikisi!!!!!