My Birthday

Hongera dogo mimi nimemaliza siku moja kabla yako yaani dec 1
 
dec 2..tupo pamoja kaka na wengine wote waliozaliwa tarehe hiyo
 

Sitasahau siku hiyo maana usiku sikulala vizuri na nilishuhudia vitu kadhaa vitendekavyo usiku...
tutajie basi hivo vitendo
 
Sitasahau siku hiyo maana usiku sikulala vizuri na nilishuhudia vitu kadhaa vitendekavyo usiku...
tutajie basi hivo vitendo

Hahah mkuu
Najua unawaza kuwa niliona wachawi.....

Nilishuhudia vibweka tu.
 
Happy bday shem Paw

Mwambie King'asti aandae pilau mie nakuja na kachumbari na pilipili ya kupika
 
Last edited by a moderator:
Hahah mkuu
Najua unawaza kuwa niliona wachawi.....

Nilishuhudia vibweka tu.

hapana wala sijawaza hicho...ila nilitegemea ulishuhudia mara kapita mtu na demu wake kamuinamisha mara watu wanakimbizana wanadiana mara watu wanabishana...mara wafanye mapenzi kona nona ...kama vimbweka hivo hao....je uliona nini mkuu?
 
Happy Birthday Paw, kindly receive our happy birthday wishes from me and my sweet pie NN.
Happy Birthday enjoy the day with your loved ones.
Hi Kasinde! Another change of avatar? Why this frequency?
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday and moderating Paw!
 
Last edited by a moderator:
Hi Kasinde! Another change of avatar? Why this frequency?

Hhahahahaaa wacha nikuite SHEKHE kwa leo maana leo ni Ijumaa na jina hilo linaendana matamshi na jina lako.

Change of avatar soon ndo mwendo wa sasa huo ni ku selfika tuu

.....katchaa........ Ekotikeeee.................. Ekoootiikeeee

Kitu Selfie.............

Nimeamua tuu kutupia selfie zangu mbali mbali kwa nyakati tofauti tofauti.

Vipi kwani imekukwaza? au imeleta shida mahali?
 
Avatar yako ni 'cool',haiwezi kunikwaza au kuniletea shida.Nilishangaa tu jinsi ulivyobadilibadili within short space of time.That's all.
 
Avatar yako ni 'cool',haiwezi kunikwaza au kuniletea shida.Nilishangaa tu jinsi ulivyobadilibadili within short space of time.That's all.

If it's cool then it's cool, thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…