Mnastar jr
Member
- Dec 29, 2016
- 99
- 53
unamaana gani mkuuTarehe ya serikali kwa watu wasiojua siku zoa za kuzaliwa
more than fire!;!thanksHappy birthday team July on fire
Ahsante mkuuHappy birthday mkuu...
Yaani kama hujui umezaliwa tar ngapi mwezi wa ngapi ila unakumbuka mwaka tu ... Ukienda sajiliwa serikari inakupa tar 1 mwezi wa 7 kama siku na mwezi wako uliozaliwa... Sijui meeleweka maana mwenyewe sijuiunamaana gani mkuu
nmekuelewa mkuuYaani kama hujui umezaliwa tar ngapi mwezi wa ngapi ila unakumbuka mwaka tu ... Ukienda sajiliwa serikari inakupa tar 1 mwezi wa 7 kama siku na mwezi wako uliozaliwa... Sijui meeleweka maana mwenyewe sijui
Thank youHappy birthday to u
Hicho ndicho unachofikili that's y we differ in thinking and actingWanaume huwa hatusherehekei ujinga huo...unaandaa na party kabisa af unajiita GT..acha kututukana wanaume humu