My Birthday 1 July

My Birthday 1 July

Mnastar jr

Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
99
Reaction score
53
Am thanking my God as well all my relative and friends,especial my real friends from JF for ur company u made me more creative as am a Great Thinker Nw.My mama told me that I was born at 1july 5:00AM welcome to ma birthday part !!THANKS TO MY GOD And My PARENTS
 
Tarehe ya serikali kwa watu wasiojua siku zoa za kuzaliwa
 
July people huuuray!!!
Happy birthday mkuu...

LLNP!
 
unamaana gani mkuu
Yaani kama hujui umezaliwa tar ngapi mwezi wa ngapi ila unakumbuka mwaka tu ... Ukienda sajiliwa serikari inakupa tar 1 mwezi wa 7 kama siku na mwezi wako uliozaliwa... Sijui meeleweka maana mwenyewe sijui
 
nmekuelewa mkuu
 
Wanaume huwa hatusherehekei ujinga huo...unaandaa na party kabisa af unajiita GT..acha kututukana wanaume humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom