mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,596
- 8,878
Mkuu yamoto wanaimba nyimbo za gospel?Hata yamoto band wako vizuri
Mkuu yamoto wanaimba nyimbo za gospel?Hata yamoto band wako vizuri
Mmmh this is my playlist but imekosa wanna be happy na I am all by kirk franklinNapenda nyingi sana nitataja chache
Help me believe-Kirk Franklin
Revolution-Kirk Franklin
My life,mylove,my all- Kirk
Declaration- Kirk
My life is in your hands-Kirk
Now behold the lamb- Kirk
Lean on me- Kirk
Imagine me- Kirk
Waging war- Cece Winans
I surrender all- Cece na whitney
Count on me- Cece
It wasn't easy- Cece
Close to you- Cece
Comforter- Cece
Only you are Holy- Donnie McClurkin
I call you faithful- Donnie
We fall down- Donnie
Holy holy holy- Donnie
Create in me a clean heart- Donnie
Give thanks- Don Moen
Heal me o Lord- Don Moen
Our father- Don Moen
Hossana- Hillsong
All I need is you- Hillsong
Long as I got king Jesus- Vick Winans
How I got over- Vickie winans
Everyday is a good day- Vick winans
Amazing grace- Women of faith
Trading my sorrows- women of faith
Wonderful, merciful, savior-WOF
Above all- women of faith
U saved me- R.Kelly
oceans will part eh one of my favouriteNapenda hillsong music...sichoki kuwasikiliza...wananibariki saana...zaidi napenda "Oceans"...naweza kuusikiliza wimbo wiki nzima bila kuuchoka yaan.
Aseee nilisikitishwa sana na kifo cha s'fiso. He was a great mansad news Sfiso ngwane muimbaji maarufu south africa aliyeimba nyimbo kama kulungile baba ngiyabongaaaa nk amefariki dunia
Bos kuna concern ninayo ki ukweli joyous 20 & 21, zipo low quality kishenz cjui wame patwa na nini hawa jamaasad news Sfiso ngwane muimbaji maarufu south africa aliyeimba nyimbo kama kulungile baba ngiyabongaaaa nk amefariki dunia
quality kivipi kimuziki nyimbo au visual?Bos kuna concern ninayo ki ukweli joyous 20 & 21, zipo low quality kishenz cjui wame patwa na nini hawa jamaa
Kinyimbo, na ki muziki yaan kika nikiwaangalia nahisi form yao iliishia jc 19quality kivipi kimuziki nyimbo au visual?
siwezi kusema sana kuhusu hilo mana 21 sijaiona bado ila wamerekodia dallas potters house kwa TD Jakes afu wiki kama 2 kumekuwa sana na mjadala fb kuhusu hili uzuri ni kuwa wengi ni friends zangu fb so unalosema pia limesemwa fb mpaka wwngine wakasema wamemmiss mbatha lakini pia music director wa sasa siyanqoba mthetwa level yake ipo juu mno kuliko musicians wa joyous so wadau wakadai kuwa hilo pia linachangiaKinyimbo, na ki muziki yaan kika nikiwaangalia nahisi form yao iliishia jc 19
Mimi nimeziona nyimbo kama mbili hivi, nat good.siwezi kusema sana kuhusu hilo mana 21 sijaiona bado ila wamerekodia dallas potters house kwa TD Jakes afu wiki kama 2 kumekuwa sana na mjadala fb kuhusu hili uzuri ni kuwa wengi ni friends zangu fb so unalosema pia limesemwa fb mpaka wwngine wakasema wamemmiss mbatha lakini pia music director wa sasa siyanqoba mthetwa level yake ipo juu mno kuliko musicians wa joyous so wadau wakadai kuwa hilo pia linachangia
Vuyo aliniuma sana mkuu
Nakumbuka alikuwa rafiki ake sana wa Jabu. Hahah nakumbuka kuna jamaa aliniambia wao walidhani vuyo ana toka na rebeka malope tena alinitel juz juz tuu
Joyous 11,jesu ke mmolki nikiuchek huu wimbo namkumbuka sana Vuyo RIP
Huo kaimba jamaa anaitwa naki kama nakumbuka unaanza hivi baba wa mbinguni unatoshaaa wewe uliye mkuu na mwema ......Wakuu naomba mnisaidie jina la huu wimbo. Jehova nisi, jehova shalom elioki Bwana nakuabudu. Naomba sana ni wazamani kidogo