Mkuu kama unao naomba unitumieThe way you father me wa Elijah Ojelade toka Nigeria, ni bonge la worship song.
Mimi huwa naona gospel za kiafrika zime simama, utakuta wimbo si uelewi ila naukubali tuu
Au hata mwafrika akiimba ndo namuelewa kuliko mzungu
Joyous Celebration-Lord i can feel
wameimba wengi kuna krystaal afu pia nadhani sowers kama sijakoseaFungua Malango ya mbingu inyesheeee.... Kachanganya kingereza na kiswahili.. Wameimba kama kwaya ivii... Sijui waimbaji ila naupenda sana huu wimbo... Anawajua tafadhali aniambie
Ps Mthunzi Namba huyo, mmoja wa founders wa JC yuko vzuri sanaHuyu jamaa yuko vzr
Yap yupo yeye jabu hlongwane na lindelani mkhize pia alikuwepo marehemu vuyo mokoenaPs Mthunzi Namba huyo, mmoja wa founders wa JC yuko vzuri sana
Mkuu Asante sana aise kwa nyimbo ulizonitumia ila hawa jamaa mbona wanaimba vizuri sana kiswahili utadhani wamekaa bongo ila sisi wenye lugha hii tunashindwa kuitumia vizuri aise Mungu akubariki sanawameimba wengi kuna krystaal afu pia nadhani sowers kama sijakosea
Hahahahaa hao ni watu wa drc so kiswahili wanakijua vizuri tu afu huwa wanakuja sana bongo afu hata kule canada walipo waswahili wengi tu mmoja wapo anaitwa Aliston Lwamba ameoa mtanzaniaMkuu Asante sana aise kwa nyimbo ulizonitumia ila hawa jamaa mbona wanaimba vizuri sana kiswahili utadhani wamekaa bongo ila sisi wenye lugha hii tunashindwa kuitumia vizuri aise Mungu akubariki sana
Vuyo aliniuma sana mkuuYap yupo yeye jabu hlongwane na lindelani mkhize pia alikuwepo marehemu vuyo mokoena
Vuyo aliniuma sana mkuu
Nakumbuka alikuwa rafiki ake sana wa Jabu. Hahah nakumbuka kuna jamaa aliniambia wao walidhani vuyo ana toka na rebeka malope tena alinitel juz juz tuu
Joyous 11,jesu ke mmolki nikiuchek huu wimbo namkumbuka sana Vuyo RIP
Joh Praise Almighty God napenda sana na kuna ile Alpha and OmegaAlmighty God- Joe praize
Mwamba wangu WA kale - tenzi za rohoni
Hossana na still pia ni nzuri sana"Shine the light let the whole world see 'we are singing' for the Glory of the Risen King..Jesus...."
Za aina gani nenda redmp3.ru utapata audio mpaka latest wanazoMwenye audio kali za gospel naomba anitumie whatsapp 0714883861