My aunt's house girl

My aunt's house girl

Mwe!! kumbe wakati mwingine tunakuwa na wagonjwa wa akili halafu tunasema wanga. Sasa katika uchunguzi wako hawa exhibitionists hawawezi kufikia kutenda mambo mengine kama kubaka? Asijenajisi watoto wa bosi!

Hiyo ni ishu nyingine tena ila exhibitionists wanakua na hali ya kuonyesha maungo yao ya siri hadharani mfano Kwenye viwanja vya mpira na popote Kwenye mazingira ambayo si ya siri na hujisikia kufanya hivyo kwa kuhisi wanapata raha...mara nyingi inapozidi inaweza ikawa mtu anakuwa na hamu ya kufanya ngono mahali wazi ambapo watu wengine wanamuona. Ila kwa case ya kubaka sijajua.
 
Kwani uchi wake na performance yake vina uhusiano gani? kama ana perform ni suala la kwenda nae taratibu tu, ataelewa, si vyema sana kubadilisha wadada wa kazi kila siku. Nendeni nae taratibu ili muweze kumsaidia yeye mwenyewe na nyie wenyewe pia. Ni ushauri tu, kuhusu huyo Cousin wako sioni kama hii ni hoja maana kama anatabia za kuwagonga mahouse-girl basi hata kama huyo binti angeshinda amevaa Ovaroli la bati bado lingevuliwa tu na wange-sex kwa mitindo yote wanayoijua kiasi kwamba mngewafumania pengine mngeanguka kwa mshangao maana hizo style hata nyie hamjawahi kuzitumia......

Tafuteni namna ya kumshauri, kumfokea na kumtisha kama vile mnalazimisha serikali mbili haitasaidia
Tushamwambia mara nyingi tu, lakini hasikii
 
nitumie namba yake ya simu.huyo ndo anafaa kuoa.

Mda wote yuko ndani ya geti hamna kutoka.

Sasa si atakuwa anakukalia uchi muda wote, we unapenda hivyo?
 
to me hilo jambo nisingelichukulia kiurahisi sana. Labda kuna na mengine, mathalani masuala ya ushirikina; utapendaje kukaa uchi muda wote huo, hadi watu wengine wanakuona na wewe unaona ni sawa tu.

Mie ningempeleka katika maombi tujue moja kama hyo ni hobby au kuna la ziada.
 
Mpeni ruhusa japo siku moja moja za mwisho wa wiki aende akatembee mjini, hiyo hali itakwisha...
 
huyo si mwanga wala, si anataka kugegedwa ila ana matatizo ya akili na kibaolojia huitwa exhibitionist watu wa psychiatric watamsaidia tatizo lake...........

watu hawa huwa na desturi za kuonyesha sehem zao za siri hata kwenye public places kama viwanja vya mipira, ama kwenye maonyesho nk wengine hudiriki hata kuzini sehem za watu wengi na kwao hilo sio kosa wanaona kama sehem ya maisha.....

mpeleken kwa dkt wa vichaa
 
huyo si mwanga wala, si anataka kugegedwa ila ana matatizo ya akili na kibaolojia huitwa exhibitionist watu wa psychiatric watamsaidia tatizo lake...........

watu hawa huwa na desturi za kuonyesha sehem zao za siri hata kwenye public places kama viwanja vya mipira, ama kwenye maonyesho nk wengine hudiriki hata kuzini sehem za watu wengi na kwao hilo sio kosa wanaona kama sehem ya maisha.....

mpeleken kwa dkt wa vichaa
Wow! thanx kwa habari njema..... naona pakuanzia sasa
 
Ana pepo na uchi tena kalitengeneza mwenyewe, aunty mvumilivu maana mie ningembalasa wiki ya kwanza tu, kwanini apende kukaa hivo tena nyumba ya watu sio ya kwake, mrudisheni singida akakae huko uchi
 
Ni msichana wa ajabu sana, hapendi kuvaa nguo... muda wote anatamani awe uchi.... ukimkuta chumbani kwake ni uchi... i mean uchi bila piccchu...... yani kabisa... na siku akibaki nyumbani peke yake anashinda uchi na kama ukirudi ghafla utamkuta uchi.... mbaya zaidi cousin wangu ni wa kiume, na yeye huwa anamkuta uchi, na anapoulizwa nini kinamfanya awe uchi anajibu anapenda tu, hapendi nguo....! Aunt anataka kumfukuza kazi... ingawa anafanya kazi vizuri sana, tatizo lake ni kupenda kukaa uchi... ana tatizo gani huyu?

mpeni kazi cousin atakaa sawa
 
huyo wala c mchaw,ila mawil la!ana act aish km mzungu!au mmemfungia ndn long time kiac kwmb she need sex bt hajapata hyo nafac,hebu jarbu kuwa unamtoa out km hana kaz jaribu kumuelewexa ukiwa nje ya hapo hme then km umri wk unaruhusu akipata boyfriend you will see changes ila usisahau kumpa ushaur wa uzaz wa mpango,
 
Back
Top Bottom