My aunt's house girl

My aunt's house girl

Being a nudist kuna raha yake.

Tatizo kuja kuacha ni kazi!

Am not a complete nudist but I cant stand clothes in the house.

Am a mother now na kuna mambo inabidi yabadilike. Ni ngumuje homie?

Yeah, ina ka raha flani hivi halafu it needs at least uwe na mazingira mazuri,like me I love when I am at home at leeast nguo ziwe zimepungua kama suruali na shati are the first thing to go off, coz sipendi joto like hell...taratibu taratibu mbona unaweza ukaanza semi-exposure then baadae kidogo kidogo ukajikuta uko normal.
 
Maajabu hayaishi!!
Alipokuja alikuwa na nguo ngapi?
 
Kumbe ni disorder, me mama alinisema hadi alichoka, nikiwa nyumbani nashinda na kanga moja, ukiona nimevaa ujue natoka au baba anakaribia kurudi ( wakati yupo hai)
Chuoni nlikuwa nikirudi hostel cha kwanza nasaula nguo hata kama natakiwa niende darasani baada ya saa moja.
Na siku nikilala na night dress ujue naumwa au kuna baridi sana. Yani sipendi kubanwa banwa, kanga yangu moja inanitosha.
First pole about your Dad.

Mi kipindi nilienda kujifungua kwa wakwe nilipata shida!!

Mi mwenyewe ni khanga moja halafu ilivyofungwa sasa? Ilmradi tu. lol
 
Yeah, ina ka raha flani hivi halafu it needs at least uwe na mazingira mazuri,like me I love when I am at home at leeast nguo ziwe zimepungua kama suruali na shati are the first thing to go off, coz sipendi joto like hell...taratibu taratibu mbona unaweza ukaanza semi-exposure then baadae kidogo kidogo ukajikuta uko normal.

yeah. sipati picha!! Najitahidi kwa kweli. Nimeanza kuvaa tops na shorts nione itakuwaje.
 
lols. Shosti yule mdada wako wa kucheka aliishiaje?

Bado yupo?:der:

Yupo best.
Wageni asiowajua wanaishiaje nje? Mpaka nimpigie awaruhusu vinginevyo nitawakuta nje.
Jana amekuja kaka yangu,nikamuita kumtambulisha asije akaishia nje siku sipo,nilipomtambulisha tu alianza kucheka mpaka akakaa chini!!
Kaka akaniambia inabidi uongeze mafuta ya taa kwenye list ya viungo!!!
 
First pole about your Dad.

Mi kipindi nilienda kujifungua kwa wakwe nilipata shida!!

Mi mwenyewe ni khanga moja halafu ilivyofungwa sasa? Ilmradi tu. lol

Asante myn.
Ila bwana ina raha yake yani mtu unajifeel mwepesi. Tena hivyo ulikuwa umetoka kujifungua hapo kisingizio unavaa kanga moja ili umnyonyeshe mtoto kirahisi.....kumbe ushakubuhu...lols!
 
Yupo best.
Wageni asiowajua wanaishiaje nje? Mpaka nimpigie awaruhusu vinginevyo nitawakuta nje.
Jana amekuja kaka yangu,nikamuita kumtambulisha asije akaishia nje siku sipo,nilipomtambulisha tu alianza kucheka mpaka akakaa chini!!
Kaka akaniambia inabidi uongeze mafuta ya taa kwenye list ya viungo!!!

Hahahahaaaa Na kweli!

Ila kucheka cheka kunaboa.
 
Asante myn.
Ila bwana ina raha yake yani mtu unajifeel mwepesi. Tena hivyo ulikuwa umetoka kujifungua hapo kisingizio unavaa kanga moja ili umnyonyeshe mtoto kirahisi.....kumbe ushakubuhu...lols!

Kama ulikuwepo.

Na mshono wangu ndo kabisa ilibidi nijiachie.
 
Anakera kwa kweli.
Ila kazi anafanya vizuri na watoto anawapenda

Muhimu watoto. Basi endelea nae. Ila kwa wiki nusu lita mafuta ya taa inabidi ununue. hahahahaaa,
 
Ngoja vimende na inzi vimuingie siku moja kwenye papuchi ndo atajifunza kuvaa nguo!
 
Anakipaje kingine sema hamtakikukiendeleza

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Anakera kwa kweli.
Ila kazi anafanya vizuri na watoto anawapenda

Hao watoto muwaulize kwa nini wanampenda, mie huyo asingekaa kwangu. Labda na uchawi anawapitishia. Nazani hata alikotoka hawakai uchi maana mmmhh!!!!

Embu pateni muda watoto hao watawaambia na vituko wavionavyo sawa ila nyie hafanyi mbele yenu.

Hayo ndio wengi wanaishiaga kuaribiwa watoto au kupewa uchawi sababu wadada ujionyesha kupenda watoto sana, kumbe nao wanajipatia watakalo. Na wazazi wanapagawa na hicho cha eti watoto wanampenda mmh

Hicho chakula akipika wanakulaje, kwanza usafi etc. Labda kamaliza nia yake apo kwake anatafuta njia ya kufukuzwa.
 
Its a psychological disorder bana..ni tatizo

Exhibitionism was first described as a disorder in a scientific journal in 1877 by a French physician and psychiatrist Charles Lasègue (1809–1883).[SUP][6][/SUP][SUP][7][/SUP]
When exhibitionism interferes with a person's quality of life or normal functioning capacity it is considered a psychological disorder categorized by the Diagnostic and Statistical Manual, 4th Edition (class 302.4) as a sexual deviation called "Paraphilia".[SUP][8][/SUP] Many psychiatric definitions of exhibitionism broadly define it as "sexual gratification, above and beyond the sexual act itself, that is achieved by risky public sexual activity and/or bodily exposure." Beyond bodily exposure, it can also include "engaging in sex where one may possibly be seen in the act, or caught in the act."[SUP][9][/SUP] A research team asked a sample of 185 exhibitionists, "How would you have preferred a person to react if you were to expose your privates to him or her?" The most common response was "Would want to have sexual intercourse" (35.1%), followed by "No reaction necessary at all" (19.5%), "To show their privates also" (15.1%), "Admiration" (14.1%), and "Any reaction" (11.9%). Only very few exhibitionists chose "Anger and disgust" (3.8%) or "Fear" (0.5%).[SUP][10][/SUP]
Engaging in exhibitionism can also lead to being charged, in many countries, with a criminal offence, due to the criminal nature of indecent exposure

Mwe!! kumbe wakati mwingine tunakuwa na wagonjwa wa akili halafu tunasema wanga. Sasa katika uchunguzi wako hawa exhibitionists hawawezi kufikia kutenda mambo mengine kama kubaka? Asijenajisi watoto wa bosi!
 
Hao watoto muwaulize kwa nini wanampenda, mie huyo asingekaa kwangu. Labda na uchawi anawapitishia. Nazani hata alikotoka hawakai uchi maana mmmhh!!!!

Embu pateni muda watoto hao watawaambia na vituko wavionavyo sawa ila nyie hafanyi mbele yenu.

Hayo ndio wengi wanaishiaga kuaribiwa watoto au kupewa uchawi sababu wadada ujionyesha kupenda watoto sana, kumbe nao wanajipatia watakalo. Na wazazi wanapagawa na hicho cha eti watoto wanampenda mmh

Hicho chakula akipika wanakulaje, kwanza usafi etc. Labda kamaliza nia yake apo kwake anatafuta njia ya kufukuzwa.

Huyu tunayemzungumzia na Karucee ni mwingine mamy!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom