Sina shaka mpaka umekuwa na uwezo wa ku-judge kazi ya jamaa basi hamna hamna utakuwa na uwezo wa kuchora japo kichwa cha paka,kama hutojali hebu weka hapa kazi yako moja tuifananishie na za jamaa.Hatuwezi kujua wewe ni mahiri namna gani bila kulinganisha na Wachoraji wenzako kwa picha hizo hizo.
Sawa nduguShukrani chief Niko naistudy hyo mambo
okay..Ila kwenye stationary nying hua nakosa penseli za grade tofauti na hb sidhani kama hizo za charcoalManilla paper
Graphite and charcoal pencils