My artwork diary

Nina swali ndugu mchoraji. Hizo manila na graphite and charcoal pencils nzuri zinapatikana kwa wapi hapa Dar es salaam na je bei zake zinakuwa vipi?
 
Nina swali ndugu mchoraji. Hizo manila na graphite and charcoal pencils nzuri zinapatikana kwa wapi hapa Dar es salaam na je bei zake zinakuwa vipi?
Tahfif Stationery iko karibu na soko kuu la kariakoo.
 
Picha ya zamani, imefanyika upya kwa mchoro.

Bob hamia ulaya ukapige Faranga ,uko na kitu kikubwa sana ,Africa hatuna appreciation na Haya mambo ,uko sawa sana MNAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…