una uwezo mkubwa sana wa kuchora!
nikiona sanaa ya uchoraji huwa nakumbuka maneno ya Mzee wangu, alikuwa ananiambia kwa hasira "wewe unakaa unachora chora tu hapa utakula hizo karatasi?" Nikikumbuka nasikitika sana.
Wazazi hawathamin uwezo na vipaji wanavyokuwa navyo watoto wao.