My Appreciation to Jf memberz!!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Hi!

Sina muda mrefu sana kujisajili kuwa member ndani ya jamvi la wenye upeo mkubwa wa kufiria,
nilikuwa nikisoma tu, lakini hatimae tarehe 11 july nikaona niyavulie haya maji ili niyaoge.

Nilifurahia sana influence ya members katika kunikaribisha wakiwemo
Ulimakafu
chatu dume
afro
kipipi

na wengine kibao ambao mlinitumia hadi kadi za kukaribishwa zilizopendeza sana

niliwahi kupata ushauri mzuri wa kubadilisha avatar kutoka kwa bi mkubwa Asha Dii, nilifurahi sana.

Bujibuji aliandika, hapa hatuna boss, hatuna mfanyakazi
mi naongezea hapa hakuna mtwana wala mtumwa
wote nahisi kama tuko sawa vile

nimepata marafiki wengi wakiwemo walio katika mkoa wangu wa Arusha kama Mr. Rocky, Daffi, na Gurta ambae ndie alienishauri hadi nikajitosa jamvini.

nina mengi wakubwa niliyapata humu jamvini kama positive attitude, kiufupi naappriciate kazi ya jf members, pamoja na mamods,

sina miezi miwili hadi leo lakini nina post kibao kuonyesha ni kwa jinsi gani navutiwa na Jf hadi kuwa addicted kwa kiasi fulani
NAKUBALI KUWA NIKO ADDICTED,
NALIPENDA JAMVI,
NAWAPENDA WOTE,
NAUPENDA USHIRIKIANO WENU.

First Born

tchao!!
 
Mkuu, karibu....hebu mtafute derimto kesho, namdai bia tano, na samaki moja ya foil pale kwa Nick......ukavipate kwa niaba yangu!
 
ha ha ha FB... Siku ya kwanza ulitpoma post more than a hundred in kama twelve hours...

That is when i knew i had made my match and fellow addict...lol... Alafu bana najuta kwanini

nilikwambia utoe the last one you had with the avatar ulonayo sasa... Hata hivo...

Pamoja Saaana.
AshaDii.
 
Mi uliniboa jmosi ulipomtosa Luvcyna kwnye harusi yake! Nikaona huna ushirikiano na wenzio, na unapenda maneno na michapo ya keyboards kulika reality.
Thats all i perceive about u broda.
 
Mi uliniboa jmosi ulipomtosa Luvcyna kwnye harusi yake! Nikaona huna ushirikiano na wenzio, na unapenda maneno na michapo ya keyboards kulika reality.
Thats all i perceive about u broda.
sikumtosa mkuu, haukunielewesha fresh, BTW, tuko pamoko sana!!!!!!!!!!
 
Mkuu, karibu....hebu mtafute derimto kesho, namdai bia tano, na samaki moja ya foil pale kwa Nick......ukavipate kwa niaba yangu!
<br />
<br />
Kaka tafadhali niko hapa msikiti wa kona Nairobi unaitwa al nini nini cjui naipiga swala yangu ya Iddi usije kuniondolea udhu. Ila mkuu nakumic kama jasho la kuku. Wapi mama mzima marty?
 
ha ha ha FB... Siku ya kwanza ulitpoma post more than a hundred in kama twelve hours...

That is when i knew i had made my match and fellow addict...lol... Alafu bana najuta kwanini

nilikwambia utoe the last one you had with the avatar ulonayo sasa... Hata hivo...

Pamoja Saaana.
AshaDii.
thanks my dear, hata hivyo nshajua unachomaanisha,
niko mbioni kukufurahisha wewe na DA
pamoko sana too!!!!!!!!!!
tchao..............
 
Back
Top Bottom