My All JF Dearest Ladies and Gents

Haibiwi mtu hapa!
Unanipangia kuibiwa eeeh?
Sema kama unampango wa kujipeleka uibiwe??!!

Aka!!Sema mwenyewe nilikuona una mpango wakumuibia mwenzako!!!!:decision:
 
Aka!!Sema mwenyewe nilikuona una mpango wakumuibia mwenzako!!!!:decision:

Aaaaaah
Haya njoo basi chumbani unipe, achana na hao wenye mawivu yao
mwenzio joto limeshapanda mpaka nyuzi joto 45 . . lol
 
Aaaaaah
Haya njoo basi chumbani unipe, achana na hao wenye mawivu yao
mwenzio joto limeshapanda mpaka nyuzi joto 45 . . lol

Uwiiiiiii sasa nikija si moto utawaka??????:wink2:
 
Liizy kiukweli hata mimi sijategemea nilijua ni bonge la mmama. kumbe 23 bado mbichi kabisa. nkuombea kwa mola akuepushe na mafisad na akupe afianjema milele
 
Liizy kiukweli hata mimi sijategemea nilijua ni bonge la mmama. kumbe 23 bado mbichi kabisa. nkuombea kwa mola akuepushe na mafisad na akupe afianjema milele
Hahahaha...aisee!Haya bwana ASANTE SANA ila bado naweza kua bonge kama mmama!
 

Umenisahau?
 
Umenisahau?

Daaah, nisamehe mkuu,
Hata hivyo sio wewe peke yako, kuna manguli kibao sijawaweka kwa makusudi
Kama Mzee Mwanakijiji, Nyani Ngabu, Bubu Ataka Kusema, Afrodenzi, Bigirita, na wengine kibao
We subili uone next time
 
Komredi nipe fidi baki toka wakati ule wa plan B, ene progresi? Nimekuja kuwashika!
 
Komredi nipe fidi baki toka wakati ule wa plan B, ene progresi? Nimekuja kuwashika!

Komredi mkuu, Project inakwenda vizuri na ipo ktk final stages. Unaweza kuja kukagua mwenyewe ujionee
 
Mgongeeni basi thanx mliorushwa live mwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…