MY AFRICA...

TESRA

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
308
270
ac0d0900bd337d6dc92493e543c3e2ea.jpg
...........AFRICA umebeba mengi yenye kuvutia na kuhuzunisha japo kuwa nakupenda sana. Una rasimali kibao km vile misitu mikubwa inayo patikana congo, misitu yenye mvua za kutosha kalbia mwaka mzima....ndani ya misitu ya congo kuna mazao ya kutosha kama vile mpira,chikichi za kutosha, pia Mungu hakuisahau congo kuipatia shaba,urenium,zahabu...lakini congo pamekuwa mahali pa kuzalishia makundi kama M23..amani hakuna na haijulikani wapi hayo madini yanapoenda....congo ina watu kama milion 70 lakin weng wao ni maskini wakutupwa.....kila mtu anataman asinge zaliwa congo....je ni lini congo utakuwa na aman ktk viunga vyako kama vile Kivu,Goma na maeneo mengine...?..................... Kila mtu kutoka Africa anapenda maisha mazuri kama vile nyumba nzuri,gari nzuri, mke au mume mzuri pamoja na amani tere isiyo ya kubabaisha, kidogo nmekumbuka maisha yaliyo kuwepo Libya miaka nane iliyopita. Gaddafi aliweza kuifanya libya kuwa nchi ya kipekee ambapo mama aliye jifungua alipewa dollar 5000 kama million kumi za kibongo, kila mtu aliye oa alipewa nyumba na vitu vingiane, maeneo yaliyo kuwa jangwa kama Benghazi yakawa yanafaa kwa kilimo, wakati kuna maeneo mengine Tanzania yana hali ya hewa nzuri na rutuba tere lakini kilimo bado kina sua sua, libya kilicho kuwa kimekosekana ni uchaguzi 2 (democracy) .ndipo walibya wakaamua kumpindua Gaddafi kwa mbwembwe zote uku wakisaidiwa na baba wa fitina na majungu (MALEKANI) ,Walibya walikuwa wakiitaka democracy kwa hamu zote nazan sasa wote tumekiona walicho kiambulia ,,,,,,libya sasa hapakaliki kila mlibya anakimbilia ulaya(Italy,hispain) angalau kwenda kuwa chokoraa angalau kupunguza uguma wa maisha libya. mzimu wa Gaddaf upo kuzamisha majaazi na boat za walibya wanaoenda ulaya kutafuta maisha wakati maisha mazuri yalikuwa Libya....je walibya mlikosa nini kwa Gaddafi? mpaka sasa mnakimbilia ulaya na malekani mpaka tunaanza kuitwa shithole na trump ....tunaitwa wachafu,tusio jitambua,masikini kama matundu ya vyoo ......je africa ni lini tutaacha kupigana kwa mitutu ya bunduki, kuwekeana sumu kwenye vyakula.....?, lini tutaacha kubeba vinyongo kwenye nyoyo zetu ...? Ni lini africa nzima itakuwa na amani..ni lini alishababu huko somalia wataweka siraha chini,ni lini boko haramu uko nigeria wataacha ku ua watoto na wanawake wasio na hatia.?...........Liberia sasa imekuwa nchi ya kidemocrasia sio Liberia ile ya akina Charles tyra na Samuel doe kila mtu anafurahia kuishi Liberia japo kuwa ni taifa maskin africa '' kumbe bora kuishi maskin uku ukiwa na amani'' .......maisha ya Africa hayatembei pasipo misaada kutoka nje ,,,,,burundi haitembei pasipo msaada wa kifedha kutoka malekani.....misri si misri isipo pata msaada wa fedha kutoka malekani uku ktk sehemu za vijiwe tukizifia south africa,Nigeria,Misri, kuwa zinaongoza kwa uchumi wakati vyuma vimekaza kwa mtu mmoja mmoja ......bado Africa kila mtu anataka kuwa Rais na walio marais wanataka waendelee kutawala milele mfano Paul kagame, nkurunzinza, Museveni, kabila pmj na Mugabe aliyeondolewa siku chache zilizopita........................Africa bado inatatizo la uongozi , bado viongozi wa africa hawajapewa baraka ya kuzisimamaia rasilimali zao kama madini,wanyama,misitu,gesi, bahari nk..hii inapeleke bado tuwe maomba omba kwa mataifa ya magharibi,,,afu tukirudi africa na matusi mgongoni tunaitwa wachafu ,wajinga,wapumbavu,tusio jielewa ata kidogo .......je ni lini africa itakuwa na viwanda vyake yenyewe,..? Ni lini africa tutakuwa na mifumo yetu ya elimu...? Ni lini viongozi wa africa wataacha kwenda ulaya na malekani kupeleka mabakuli...? ni lini africa itakuwa na amani angalau kwa mwez mmoja...? Ni lini africa hakutakuwa na magonjwa mengi yasiyo isha kama vile ebora kwani kwenye misitu ya Asia na ulaya hakuna nyani na popo wanao weza kueneza ebora mpaka iwe africa 2 ....malaria na ugonjwa wa ukimwi ndiyo mahali pake africa.....ni lini vijana wa africa watauimarisha utamaduni wao kama vijana wa kimasai kutoka Tanzania ambao bado hawaja utupa utamaduni wao, bado wanavaa mashuka yao lakini bado tunawaoana washamba....? Ni lini wanawake wa africa wataacha kuvaa nguo fupi, wataacha kuvaa nywele za bandia, kucha za bandia, kubadiri ngozi zao,na kufanya mapenzi ya jinsia moja( lesbian) ...? ....ni lini vijana wa kiume wa kiafrica wataacha kuvaa nguo chini ya makalio, wataacha kutoga maskio kwa ajili ya eleni, ni lini wataacha kutumia madawa ya kulevya pamoja na kufanya mapenzi ya jinsia moja( gayism)......?.... Je ni lini tutaacha kubaguana kwa rangi zetu mtu kutoka africa kaskazini(Misri) anajiita mtu wa mashariki ya kati( middle east) ...afu wengine tunaitwa tulio chini ya jangwa la sahara tusio na maendeleo hatuna mbele wa nyuma ...nataman angekuwepo Steve Bicko wa south africa aendelee kulpgia kelele suala la rangi lakin alisha pumzishwa na waafrika wenzake wakisaidiana na makaburu ambao wanaungana na trump kutuita shithole( matundu ya vyoo),......ni lini ukabira utaisha africa je tunatakata kurudi nyuma kipindi cha mauaji ya Rwanda miaka ya 1994 (wahutu na Watusi).....VP kuhusu mauaji yaliyo kuwa yakiendelea africa ya kati (centre africa) kikundi cha Ant baraka ambacho kilianzishwa kwa ajili ya kuwa ua waislam ....vp kuhusu boko haramu kule Nigeria ambavyo wanachoma moto makanisa.......?... Ni lini viongozi wa africa wataacha kupinduana kwa uroho wa madaraka kuanzia kipindi cha akina Mobutu seseko wa Kongo, Charles tyra wa Liberia, valentine wa sierra Leone ,iddi amin dada wa Uganda , pamoja na mapinduzi yanayotokea sasa kama ilivyo tokea misri,ivory coast,Burundi, bado waafrika tuna mengi ya kujifunza na kuchukua hatua staiki kwa ajili ya maendeleo ya sasa na kizazi kijacho ....bado hatuna njia mbadara namna ya kujikwamua viongozi wetu wamekalia kupika majungu na kuyachemsha na kuangalia nani anawakosoa........!!! Vijana wamechoka na maisha ajira hakuna, kila mtu wanamchukia wanatamani ata wangezaliwa upya ili shida wanazopata zisingekuwa zao ,,,, kila cku wanaambiwa wajiajili wakati mitaji hakuna, elimu ya ujasilia Mali hakuna mashuleni kazi kusoma nazalia za akina Plato, arestotle,Socrates, Michael Faraday, na akina Gallilei Gallileo .....bado vijana wanafundishwa gracial movement in Switzerland na fishing in japan.....tuna safari ndefu sana ata mwisho hatuna, tunaishi kama tunaigiza ....ikifika usiku kila mtu anapajua anapo lala,kila mtu anajua anacho kula sisi tunajali tumeamka salama afu mishe mishe kama kawaida pale kariakoo ...yaani kila mtu anapambana na hali yake.........................
.God bless AFRICA and its people...
 
Sawa lakini jifunze pia kuandika kwa mtiririko mzuri unao fuata mpangilio mzuri wa aya

Pia Katika "L" usiweke "R"

una mawazo mazuri kijana lakini nivyema kurekebisha hayo makosa ili ueleweke zaidi

Nafikiri sijapoteza muda wangu bure!
 
Sie si AFRICA jina lililojificha laaa wazungu kutoka A FREE CAR kwenda AFRICA. Bado tu magari ya bure ya wazungu tokea enzi za utumwa.

Ss hivi hao wazungu wametugeuza magari yao ya bure kupitia kwa wale viongozi tuliowapa uongozi.

N
 
Kila zuri lina ubaya wake!!? Unaowaongoza wakisema wakisema tunataka hili hata kama ni baya kwako ni vema ukawasikiliza kuliko kuwalazimisha, kuongoza binadamu ni kama umleavyo mtoto wa kambo hata umpe zuri lipi .....
 
Katika vitu vibaya walivyotufanyia wakuja - wazungu na waarabu ni kutojiamini na kutojithamini mbele yao

Na huku wakijua tuna tatizo la mikatiba mibaya wanakimbilia kushika au kuwaweka kwenye himaya zao kwamfanoviongozi wetu. Wakishindwa wanamhujumu ili wananchi wote tumuone hafai

Angalia wazungu walivyokuwa kimbelembele kuwasaidia walibya waliokuwa wanaandamana kutaka 'domokrasia'. Kitendo kile wasingekifanya kama Gaddafi angekuwa kibaraka wao

Angalia wanavyokomaa ili Kongo pasitawalike. Wa najua pakiwa na serikali imara watashindwa kuchukua Almasi, Dhahabu, coltan na madini mengine bure. Hawataki kununua. Wa nataka wachukue bure. Na wana vibaraka wao miongoni mwetu wenye nguvu

Tuna tatizo moja kubwa; tumekuwa corrupted,

Wanakuja na hongo ili kuihujumu afrika. Hongo isipofanya kazi wanaleta bunduki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom