My 3 suzuki Carry(s) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My 3 suzuki Carry(s)

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by DaPilly, May 22, 2012.

 1. D

  DaPilly Senior Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hi wanajamvi
  Mimi ni mjasiriamali mdogo, nimenunua suzuki carry zangu 3 toka japani sasa tokea zianze kazi zina kama wiki 3. Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunishauri ni jinsi gani ninaweza kutengeneza pesa nzuri mbali na hii 20,000 per piece per day ambayo ninaipata toka kwa madereva wangu ambao ninawaona wananionyesha ni ngumu kuipata 20,000 kwa siku. Please advise me how best I can use them to make good money either per day or dar month.
  asanteni
  DaPilly
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Inawezekana kweli ni ngumu kupata kiasi hicho kwa siku kwa sababu siku hizi kuna Bajaj za kichina ndizo zinatumika zaidi kwa kazi hizo za ubebaji mizigo.
  Cha kufanya jaribu kuongea na kupata tenda toka kwa makampuni ya wanaopika vyakula vya kupeleka maharusini uwe unabeba vyakula hivyo kupeleka ukumbini.
   
 3. D

  DaPilly Senior Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Asante kivumah
   
 4. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ungeanza kwa kuzifanyia advertisement wewe mwenyewe hapa jamvini,weka namba za simu kuwa anayehitaji hizo gari kwa siku bei ni....na akupigie au email wapi, humu kuna wateja wengi sana hata mimi naweza kukuunganisha siku moja moja, DaPilly ukiisha fanya biz na waswahili ukapime moyo wako kwanza maana na wao wanataka kutajirikia kwako, sasa hiyo follow up ndio watu hufia njiani.:A S-coffee:
   
 5. Chokochoko

  Chokochoko JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  dah 20000? Mbona ni 30000 per day inategemea na eneo unalopaki kwani wewe uko wapi? Tafuta vijiwe vyenye kazi baana hizo gari zinalipa sana
   
 6. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni kweli kwa sasa ni ngumu sana kupata hiyo pesa mana kuna mchina kaingilia kati...labda uvikodishe kwa watu au maofisi...kuna jamaa yangu ana kampuni alikua anahitaji kimoja kwa ajili ya shugguli za site eidha ya kukodi malipo kila mwezi ama ya mkopo kulipana kwa makubaliano maalum.....kama uko interested niPM
   
 7. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nipe namba yako nitakuunganishia kazi ya kudumu kupeleka vyombo vya muziki na kurudisha kila wanapopiga
  asanteni
   
 8. D

  DaPilly Senior Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Namba yangu ni 0719 27 47 00
   
 9. D

  DaPilly Senior Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu zangu zinapaki pale mwenge lakini madereva wana taabu, mmoja nimeshampokonya sasa wiki ya nne gari limepaki nyumbani.
   
 10. D

  DaPilly Senior Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nisaidie kama kuna sehemu ina mizigo labda hapo walipo hapana kazi, ila niliongea na mmoja wao akasema kazi zipo, ila anawashangaa wenzie
   
 11. chash

  chash JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Ukiona headache viuze uweke hela kwenye biashara nyingine. Usianzishe bizness bila kuwa na enough knowledge
  utakuja pata hasara
   
Loading...