My 20 laws of power

15.Maneno ya kejeli yanakufanya uwe vile unavyoyasema,maneno yako yanaamua uwe vipi, kuwa mtu chanya muda wote sema maneno mazuri.

huu ndio ugonjwa wetu walio wengi hapa JF, hadi tunakejeli chakula chetu mezani kabla ya kula!
Samahani niko nje ya maada mkuu nmependa dp yako. Nmeichukua kama hutajari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiacha namba 10 , hayo mengne nahisi uliiimba point kwenye maandalio ya Kitabu changu cha "The succesed farmer in sub sahara"
 
Ukiacha namba 10 , hayo mengne nahisi uliiimba point kwenye maandalio ya Kitabu changu cha "The succesed farmer in sub nimek
Hayo ni mambo nayaishi kabla ya kitabu chako.

Uzuri ni kuwa sijawahi kukiona kitabu cha aina hiyo ama jina hilo toka nizaliwe
 
Hayo ni mambo nayaishi kabla ya kitabu chako.

Uzuri ni kuwa sijawahi kukiona kitabu cha aina hiyo ama jina hilo toka nizaliwe
Bado hakijatoka.
Kitatoka nikiwa bilionea kama Rostam next 4 year
 
15.Maneno ya kejeli yanakufanya uwe vile unavyoyasema,maneno yako yanaamua uwe vipi, kuwa mtu chanya muda wote sema maneno mazuri.

huu ndio ugonjwa wetu walio wengi hapa JF, hadi tunakejeli chakula chetu mezani kabla ya kula!
Unanikumbusha kitabu kimoja cha "the power"

Kagusia sana the power of gratitude
 
21.binaadamu tumepungukiwa upendo.
Usitegemee sana maajabu kwa mtu unayekwenda kukutana naye,kuonana naye,kuishi naye kwa mara ya kwanza.
 
21.binaadamu tumepungukiwa upendo.
Usitegemee sana maajabu kwa mtu unayekwenda kukutana naye,kuonana naye,kuishi naye kwa mara ya kwanza.
Sahihi mkuu umekusudia maajabu gani hapo ?
 
Hizi sheria zako zote 20, zote zimebebwa na sheria moja tu ambayo ni namba 15! I like the version of your thinking/ philosophy
 
Hizi sheria zako zote 20, zote zimebebwa na sheria moja tu ambayo ni namba 15! I like the version of your thinking/ philosophy
Hahha mkuu shida ni kwambba sheria namba 15 ni ya jumla saana haijawa specific hivyo ndio maana nimejaribu kugusa kila nyanja mkuu
 
Hahha mkuu shida ni kwambba sheria namba 15 ni ya jumla saana haijawa specific hivyo ndio maana nimejaribu kugusa kila nyanja mkuu
Ulivyofanya ni vizuri kabisa na ndiyo inaytiokiwa kuwa, inabidi na hizo zingine uziseme kama ulivyozisema hapa, isipokuwa mimi nilikosea kusema. Nilitakiwa kusema hivi, ukiishika hiyo ya 15, unakuwa umezishika zote 20 kwa ujumla wake
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…