Mwongozo wa Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Mini Supermarket

Sikuhizi Uswazi zinalipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushauri. Unadhani ni kiasi gani kitafaa kwa kuanzia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushauri. Unadhani ni kiasi gani kitafaa kwa kuanzia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na location kwa sababu locatio zinazofaa kwa mini supermarket unakuta hata rental yake ni kubwa a pia huwa eneo ni kubwa kwa unahitaji angalau sqm 36 na kuendelea ambazo zinaweza hata kuzidi.Zile shelf za supermarket nazo bei zake ni ndefu bado mafriji,mapambo/branding nafikiri weka budget ya 30m plus na pia utafute watu wanaoweza kusuply vitu on credit/yaani mechandiser ambao wanaweza kukusaidia kushusha operating cost kwa mwanzoni.

Ila kwa uelewa wangu mdogo aim for 30M plus
 
30m bado sanaaa.
Akitoa kodi hapo inashuka mpk 20,

Kwa uzoefu mdogo sana aweke 45-50

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo biashara tafuta eneo ambalo unadhani utafanya biashara kwa hiyo pesa utafanya biashara Tanzania ukizingatia ukiwa na office wengi watakuja kukupa bidhaa uwalipe baada ya muda cha msingi uwe mwaminifu na lipa mapema usiwasumbue kwa pesa uliyonayo ukatembea Dar es salam kutafuta shelf kwa bei nzuri si lazima ukaanza na vyoote viwepo aanza na vile unadhani vina mzunguko Mkubwa ili kadri unapopata pesa unanunua vitu vya kutunza bidhaa hapo Dukani...ukiuliza sana mtaji Tanzania hufanyi biashara Mkuu wengi wanajibu kwa mtu alie kwenye mzunguko sio anaeanza..
 
Wewe anzisha tu, yote utayajuwa ukishaanzisha.
 
mimi nimepanga fast food restaurant , vifaaa nimenunua kama 12 million kutoka china sasa hivi natafuta sehemu ya kufungua naona labda ntapata 50000 kwa siku. mawazo yoyote yanakaribishwa
Vipi ulianzisha hii project mzee baba tushare maujuzi na xperiences ulizopitia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…