Mwongozo wa Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Mini Supermarket

Hivi huwa zina faida wakuu? Ni jambo kuna mdau huwa analisema sema kuhusu kufungua najiwazia inafaida kweli ukizingatia viduka ni vingi kila baada ya mtaa kuna kiduka cha mangi cha basic needs....
Mkuu nina uzoefu wa 5yrs usiombe hii kitu ni pasua kichwa sana
 
Kuna super market juzi nilikuwa nalipia bidhaa nikasikia wanasema wamenunua umeme wa laki 8!!!, Hii biashara unatakiwa kuwa na pesa
 
Back
Top Bottom