Mwongozo: Madini ya Ruby na soko lake nchini Msumbiji

Kk..vipi kuhusu kutoka kwa mawe..pia nmeskia sa iz police wanashusha kichapo hevi..kwenye eneo la machimbo...ss sijui ndo inakuaje

yanatoka mpwa jana timetuma kg 98 hongkong

kila kilo dolla 400 mpaka 500
 

Mkuu@Felex Umezungumzia namna yakusafirisha Thailand vipi km mtu anataka kurudi nazo bongo khs Mpakan manake inaonekana Askari wa huko ni wapekuzi sana pia Kwa mtu ambae ni mara ya kwanza Anatakiwa anunue kwa bei gani.ilia apate faida,,,,Mwisho utaijuaje RUBY ya KWELI nayauongo,,,,Natanguliza Shukrani,,,,
 
Wanaotaka kwenda wasubiri uchaguzi upite.
 
Biashara za wenzetu duh! Hakuna dhuluma wala nini, na kwa maelezo hayo we ukustahili kuwa mmachinga bali lekchara
 
Guys na ruby 13 carats rough stones toka Madagascar. Wasiliana Nami on whatsapp 0755204020

Mkuu mwenzio Felix katoa darsa zuri mno bila uchoyo na kina watu wanaweza yafanyia kazi. Nakushangaa wewe mkuu unakimbilia WhatsAAp, cha kufanya changia unachojua watu wanufaike.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana brother felix mwongozo uliotoa kwa moyo mkunjufu mungu akuzidishie
 
mkuu Felix nawezapata namba yako private? nimekuwa very interested na biashara hii.
 
Kwa Wale wadau /wafanyabiashara wa ruby..
Ruby ya Kutoka kilindi,tanga inatakiwa quality high caboshon,size grm 1 na kuendelea grm 1 ni 10000/ ...kama kuna mtu Ana mzigo ani pm au tuwasiliane....0715591141

Ova
 
Huko Kabdrigado...Mutopwezi...Nanyupu hali ipoje kwasasa,km utaweza kutu update kdg
 
Ndgu
Tunaomba mwongozo wa Madini ya Dhahabu
Natikiria kuanza biashara hiyo
Nitakua nayatoa Kahama
Kupeleka Thailand
WhatsApp 0652881000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…