Kuna mtu niliwahi kumuona kapost kwamba anafunga dish. Tafadhali kama bado upo humu naomba unipe muongozo, gharama na channel ambazo nawezqa kuzipata. Au kama kuna ambaye anatumia naomba unipe mwongozo wa gharama na chanel zinazoweza kupatikana..Star times inanitia kichefuchefu sana ndugu wadau