jaman msaada mimi nahitaji kuomba verification award lakin sijajua natakiwa mda gan kufanya malipo take elf 10 kabla y kutuma maomb yang au wakishanijibu..msaada jaman

Ingia kwenye portal yao ya Award verification Number pale weka vitu vyote vinavyotakiwa kisha system yenyewe itakutaka ulipie hiyo 10,000/- mara hatua ya malipo itakapofika

Ingia kwenye Tovuti ya www.nacte.go.tz
(ii) Fungua/Click NAVS ( National Award Verification System) kisha jisajiri na uendelee na maelekezo yap kadri wanavyotaka.
Mwisho tumia Laptop kwa urahisi.