long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,083
- 1,037
Ndo ulifuate MaseratiContemporary adverts eeh. Hata mi nimeona [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sipendagi kukashifu au kutusi mtu. Picha ya huyo mkorea uliyoiweka inakutambulisha we ni mtu wa aina gani.Sababu moja wapo ni za uovu na matendo ya punga....
Mkuu sipendagi kukashifu au kutusi mtu. Picha ya huyo mkorea uliyoiweka inakutambulisha we ni mtu wa aina gani.Sababu moja wapo ni za uovu na matendo ya punga....
Sikuwa na hilo lengo na mwanaume hasifiwi uzuri ila nimeeleza yanayonisibu.Lengo lako limetimia,ulitaka tujue wewe hb.Kwa taarifa yako hakuna demu anaeweza mkataa mume eti mzuri sana,never.
Mkuu sipendagi kukashifu au kutusi mtu. Picha ya huyo mkorea uliyoiweka inakutambulisha we ni mtu wa aina gani.
Duh!kaoe teja tu kama vp
Duh!kaoe teja tu kama vp
Naikumbuka hiyo mdauNakumbuka mb dogy alikuwa na same madai...lakini kwa Nancy Summer li alidunda kizuri kilimgomea kibaya
Kaka mi sio hamorapa. HahahaBro unatafuta Kiki kwa pikipiki [emoji23][emoji23][emoji23]
Jfwhere we dare to talk openly
Naona unajisifia kwa sura!! Njoo nikufirimbe ukitoka sura itakua imekuparama had watakukimbiaHope mpo poa kabisa.
Nakumbana na changamoto sana katika kumpata mwanamke wa kuoa ili tutengeneze familia kutokana na fikra mbovu upande wa jinsia b. Nilijaribu kutafuta ushauri kwa watu wa karibu na nikashauriwa kujiweka simple haswa kimwonekano na nikafanya hivo kwa kuvaa simple sana huku kichwani nikinyoa low cut tu lakini bado tatizo lipo palepale. Tatizo ni kuwa kila mwanamke ninayem-face ili kuwa naye kwa lengo la ndoa anadai hawezi kuolewa na mwanaume handsome kama mimi labda kama ni dating tu isiyo na future kwa madai ya kuwa ni rahisi sana kwangu mimi kuonwa na kusumbuliwa na Wanawake wengine na ni kweli mambo haya yanatokea sana lakini binafsi najiheshimu sana.
Wadau naombeni ushauri nifanyeje au wengine walitumia mbinu gani ili kuepukana na huu mtazamo kwasababu naamini mi sio wa kwanza kukumbwa na hili. Nawasilisha.
Kuna watu wanoko!! Unavoomba Picha ukitongozwa utakataa kweliPicha plz!
Hehehe mkuu msamehe ndio kamaliza form 6 juzi... Anajaribu kufuta madesaKiukweli ni umejidhalilisha, kuna nyuzi ukiandika au jibu ukitoa mtu anajenga picha wewe ni mtu wa aina gani, una akili, una upeo mkubwa au la.
Kuja kusema wanawake wanakwambia kwa hiyo sura yako wanaona bora muwe na uhusiano usio na future ni madai yasiyo ya kawaida unless aliyeyaanzisha ni mtoto mdogo anayetaka kutunga stori za kupitisha muda.
Tanzania nzima, mahb wangapi? Afrika nzima? Dunia nzima? Wote hawajawa na madai haya ila wewe.
Grow up dude achana na hizi fantasy shit