Mwonekano unanikondesha

Vry simple, ukimpata akakubali kuingia kwny relationa nawwe ila akakwambia is just for muda2 ww mkubalie maana hayo ni maneno safari ikisha anza huwa wanakolea wenyewe wanaanza ku-demand ndoa wenyewe kwa fujo zote.
 
Asante kwa povu mkuu.


Haaa haaa Haaa haaa teeeh teeeh t Aiseeeh

Wewe cha kufanya, jipake gilisi chafu na oil chafuuuuu miezi sita tu hakuna atakaye kukaribia wala kukuzingua.

Acha porojo.
 
mimi ni hb na nakula papunch sana huku wakipenda kuolewa na mimi hakuna aliye wahi hata kuchomoa kuolewa so mimi tu any tm and any one
 
mimi ni hb na nakula papunch sana huku wakipenda kuolewa na mimi hakuna aliye wahi hata kuchomoa kuolewa so mimi tu any tm and any one
Kama ni wakutafuna tu wapo wengi ila sipendelei kufanya hivo kutokana na imani yangu naiogopa zinaa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…