Anatakiwa kulipia siyo?Tangazo hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdau ingekuwa hivo ningeweka bango la kusaka mke na picha kabisa. Ushauri wako ndio unahitajika umri nao unaniumiza kichwa ushaenda kidogoTangazo hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tangazo hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Soma vizuri post mkuuBasi utakuwa tatizo we we hamna mwanamke anae mkataa mwanaume kisa handsome boy
Ushari wako unahitajika please.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hongera kwakuwa handsome
Contemporary adverts eeh. Hata mi nimeona [emoji23][emoji23][emoji23]Tangazo hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kamba kaka ushauri wako ndio muhimuAcha Kamba Mkuu
Sidhani kama itafaa kumbuka natumia fake id kwasababu mbalimbali.Picha plz!
Asante kwa povu mkuu.Ni rahisi sana, jipake gilisi chafu na oil chafuuuuu ndani ya mwaka mmoja tu utaoa na hutakaa usumbuliwe hata sekunde moja.
Wewe ni kipoyoyo Kweli na huu uzi wako mnafanana kabisa.
Angalia, mwandiko wenyewe kama vitoto vidogo vya chekechea, hapo ni kwenye devices ukiandaka kwenye daftari watu si watazimia kabisa!!