Mwonekano Mpya wa Mr. Blue Byser

Blue akubali kuzeeka kiutu uzima,nadhani hiyo style ilibidi aifanye toka 2003 huko kipindi bado mtoto siyo sasa
Sasa 2003 ndevu alikuwa nazo?

Bora tu kila mtu aishi maisha yake, na wala Mr Blue siyo wa kusema amezeeka hivi kwamba tuseme mwonekano wake hauendani na umri wake.
Yuko sawa tu hajatoka kwenye kundi.
Maana Kuna wenzie wanatoka na vigauni vya pink.
Kwahiyo yuko sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…