maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,424
- 956
Lile gwiji la kusimamia chaguzi barani afrika mr Jecha S jecha limekuwa tipped kupata tuzo ya nobel baada ya kuwakosha wapenda amani duniani kwa kusimamia vyema uchaguzi wa zanzibar ulioweka rekodi kwa incumbant mheshimiwa Shein kupata 91 percent na hivyo kudhihirisha anavyopendwa kupita kiasi
na attach picha kwa mujibu wa gazeti la kibongo likionyesha muonekano mpaya wa gwiji hilo la uchaguzi linalomuamini Allah na ambalo linatenda haki siku zote