Mwone adui yako ni ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwone adui yako ni ccm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DOMA, Mar 2, 2012.

 1. D

  DOMA JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Muda umefika wa kumuona adui namba moja kuwa ni ccm kutokana na wachafu kuwa wengi kuliko wasafi ambao pia wamechafuliwa na hao wachafu hivyo hata mtu awe msafi vp akiingia ndani ya Ccm ni mchafu tu. Au wadau mnaonaje
   
 2. F

  FILOMBE Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si, kweli hata kidogo. Taasisi inajengwa jamani, hata Ccm inaweza ikajengwa na ikawa safi kama vyama vingine mahili na makini duniani. Tatizo, ni pesa inapotawala sana badala ya thamani ya utu na utaalamu wao. Mdau hii Ccm unayoiona leo imeanzia mbali sana na misuko suko ni kawaida sana katika chama. So ni dhambi kubwa kusema Ccm ni adui namba 1, adui ni watu na siku zote kumbuka kuwa watu hawakimbii tasisi bali wanakimbia uongozi mbaya. Ccm itaendelea kuwepo , mabadiliko yatakuwa ni ya watu tu. Kumbuka wanasiasa wote uwaonao leo ni zao la hiki chama Ccm.

  Ciao.
   
 3. m

  mrisho amin Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe kada unaposema ssm unamaanisha nini? Kwani taasisi inaundwa na miti si watu, sisiem nimaforoso matupu nandiyo imekufanya uwe namawazo duni, hiki chama kimedumaza mawazo na uchumi wetu tz ni nchi iliyotegeshwa kwenye utajiri lkn chaajabu 50yrs sasa bado tunasaga lumba, chamsingi nikuinyofoa tu hii ssm, huu niwakati wakutenda na sio porojo majukwaani
   
Loading...