Mwogope sana kiumbe anayeitwa binadamu

Binadamu wakati mwingine hana akili. Ndiyo maana unaweza kushitakiwa kwa matendo yako mwenyewe yanayohatarisha maisha yako.
 
Ni nini hiyo mazee mshikaki wa ngamia ama?
 
Mh! Nime zoom lakini wapi sijaelewa ngoja nitafune carrot kwanza
 
Hiyo binadamu anafanya nini huko juu
 
Kamwe usimwamini binadamu.hivi inawezekana kweli binadamu wa kawaida amfanyie hivyo binadam mwenzie?
 
Ukiitazama hiyo picha kwa haraka unaweza ukadhani ni ngamia katundikwa...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…