Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,162
- 6,307
iyo miradi pia ipo mkuu nafany natengeneza sabun n chemicals hapa mtaani lakin bado haitoshi natak niendlwe kuitumia taaluma yangu sehem mbalimbali na shulen nako nimeamua nifanye application yake.kuwasaidia wanafunz waje kuwa kama mimKwanini tusishirikiane tufanye biashara ya kutengeneza sabuni za maji disinfectants tuyauzie mahoteli na wamama
Kwa ajili ya koshea vigae,masinki,vyombo,kufulia etc
Tunautumia ujuzi wako wa chemistry
Tukifanikiwa tutapanua tuanze kufanya in middle scale
Yap mkuu vitu vyote hivyo najua kuvifanya sijakurupuka wala si kama nimevamia no sio ivo nina uhakika na uwezo wa kufanya yote hayo.Unajua kuugawa ubao ww na kuandaa lesson plan au unavamia tu
Mkuu mbona tanzania kuna uhaba wa walimu wa sayansi na huwa wanatumia watu wenye professions tofauti ili kuweza kuwasaidia wanafunzi katika masomo hayo,hivo mimi sijasomea lakini hiyo kazi ninaiweza vizuri huku nikiendlea na kazi yangu ya ukemia.ww siyo mw.l hujasomea taaluma ya ualimu ww mw.l feki serious
Bachelor of science in chemistry,kwa kiswahili ni shahada ya kwanza ya ukemia.Samahani iyo
b.chemistry
Ni nin vile???
o level na a level ulipataje chem?iyo miradi pia ipo mkuu nafany natengeneza sabun n chemicals hapa mtaani lakin bado haitoshi natak niendlwe kuitumia taaluma yangu sehem mbalimbali na shulen nako nimeamua nifanye application yake.kuwasaidia wanafunz waje kuwa kama mim
nawasilisha
O Level nilipata B 2012,na A Level B 2015 mkuu.o level na a level ulipataje chem?
Kweli we mzima, ile chem 2012 olevel ni salute. paper ilikazwaa!!O Level nilipata B 2012,na A Level B 2015 mkuu.
asante sana mkuu,salute kwako pia kwa kunikubali.Kweli we mzima, ile chem 2012 olevel ni salute. paper ilikazwaa!!
ww si bado unasoma tena ndoo unaingia second year upo chuo ganiO Level nilipata B 2012,na A Level B 2015 mkuu.
ile chem niligonga A azania kwa ngozye enzi zile.Kuna jamaa anaitwa peter naye aligonga A 6 ikiwemo ya chem.ila dah form 6 niligonga B+ mana niliwekeza sana phy na math Mzumbe sec.O Level nilipata B 2012,na A Level B 2015 mkuu.
Ndiyo mkuu,bado nasoma chuo kikuu cha Dsmww si bado unasoma tena ndoo unaingia second year upo chuo gani
Poa mkuu,hongera san ase...ile chem niligonga A azania kwa ngozye enzi zile.Kuna jamaa anaitwa peter naye aligonga A 6 ikiwemo ya chem.ila dah form 6 niligonga B+ mana niliwekeza sana phy na math Mzumbe sec.
B.Sc. chem =b. chem?Bachelor of science in chemistry,kwa kiswahili ni shahada ya kwanza ya ukemia.