Mwl Physics na Mathematics anatafuta shule ya kufundisha

EMPLOYMENT VACANCY
URGENTLY REQUIRED

31 JAN 2022

POSITION: TEACHER (1 Post)
JOB LOCATION: IFAKARA

IFAKARA CATOLIC DIOCESE is looking for ONE MATHEMATICS TEACHER who can also teach Physics Subject.

A candidate with Degree of Bachelor of Education in Science.
Applicants with experience will be more prefered.

Interested candidate should send Application Letter, cv, copy of Academic Certificate and Transcript via Email address of dioceserecruitment@gmail.com or through post address of
GENERAL SECRETARY,
IFAKARA CATOLIC DIOCESE,
P.O.BOX 57.
IFAKARA.

All applicants are Encouraged to apply before 15th Feb 2022.
Ahsante mkuu
 
Ndugu Wana Jamii Forum, poleni na majukumu ya kulijenga taifa.

Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu Cha Dar es salaam (UDSM) tawi la DUCE, nimehitimu mwaka 2018, ngazi ya degree.

Nimekuja kwenu mnipe connection ya kazi kufundisha masomo ya Fizikia pamoja na Hisabati , either kwa shule yoyote unayoifahamu yenye uhitaji ama kama wewe mhusika wa bandiko hili waweza niunganisha.

Nina uzoefu usiopungua miaka 3 wa kufundisha Fizikia na Hisabati kwa O'level na pia kufundisha Hisabati kwa A' level mwaka mmoja(1).

Kwa maelezo mengine waweza nipata kwa namba hii +255758234994. Napatikana Dar es salaam.

Natanguliza shukrani zenu.
Kama huna matatizo ya kuongea lugha ya Kiingereza, jaribu kuomba pia pale International School of Tanganyika (IST). Graduate karibia wote hapa nchini huwa hawaombi hiyo shule kwa kuogopa kuwa hawatapata kwa sababu inalipa mshahara mkubwa. Kitu hiki huwa kinapelekea sometimes watu hawa kuwa na nafasi.

Omba hiyo kama kuna nafasi unaweza kupata. Masomo yako yana uzito wa pekee na chances za kuchukuliwa ni kubwa kama kuna nafasi
 
Kuomba, inahitaji kusikia tangazo la uhitaji
 
Back
Top Bottom