Hakuna MTU anachaguliwa cha kufanyaUnapenda na ndugu zako wafanye hiyo biashara?
Yan wanamuona kama nabii ...jpo huyu mleta thread hajaonesha marejeo n WAP kayatoa hayo ....hta ka n kweli huyo nyerere kazungumza n upuuz mtupuNyerere mnampaga sifa ambazo akuwa nazo.
Amkute mamaake au Dada ake ..atasema hayoUnapenda na ndugu zako wafanye hiyo biashara?
Huo n upumbavu miongon mwa upumbavu wa nyerere wenualiona mbali biashara ya ukahaba ikipigwa marufuku wateja wao watakosa huduma watabaka mama zetu na watoto wetu wadogo.ni bora iwepo ili wateja wao wapate pakuponea
Comment yako ina maana gani? nini ujumbe wako hapo kuhusu kumtaja Mwl Nyerere na hao wakina nanii ndiyo wakina nani? napenda sana mtu aliye wazi na mkweliYakija mnayotaka kuyasikia Mwl. Nyerere anafaa tena sana hadi akina nanii hawana shida naye, ila ngoja iwe kinyume chake. Mzee wa watu atasemwa na kutukanwa kana kwamba yu hai na hasa akina nanilii. Huu si uungwana, hatuwezi kuwa watu wa kila mtu na masrahi, na hatuwezi kutetea uovu kwa aina yoyote ile. Mwalimu Myerere alikuwa mwanadamu kuna mahala alikuwa sahihi na kuna maeneo alikosea pia na ndo maana akasema ..ya kipuuzi yaacheni ila yanayofaa yachukueni.
Na hata yeye leo asingerudia kauli ile kwasababu yeye pia alikuwa ni mzuri wa kusoma nyakati, angalia kung'atuka kwake, angalia kurudi kwa vyama vingi n.k. Kwahiyo msipende kukariri na kufanya ubabaishaji, ongea wewe kama wewe na kama huna hoja kaa kushoto kuliko kumtaja mzee kizembe kizembe namna hii, haipendezi
Hujasoma mada yote sasa utaelewa nini....na hayo ndiyo matatizo ya watanzania ukitaka kumficha jambo weka ktk maandishi,Sasa mada ina maelezo yote lakini hujui imetoka wapi si maajabu hayo.Yan wanamuona kama nabii ...jpo huyu mleta thread hajaonesha marejeo n WAP kayatoa hayo ....hta ka n kweli huyo nyerere kazungumza n upuuz mtupu
JiongezeComment yako ina maana gani? nini ujumbe wako hapo kuhusu kumtaja Mwl Nyerere na hao wakina nanii ndiyo wakina nani? napenda sana mtu aliye wazi na mkweli
sasa huyo ndugu yako akiamua kufanya hiyo biashara hutaweza kumzuiaUnapenda na ndugu zako wafanye hiyo biashara?
Hujui hilo swali limetoka wapi.....hiyo ni biashara kutokana na mindset ya mtu mwenyewe.Kumsaidia ndugu yako kuacha na maamuzi ya ndugu mwenyewe wengine wamesaidiwa na wameacha na wengine wamewaacha ndugu zao waendelee na hiyo biashara kwasababu ambazo wanazijua wenyewe.Mambo mengine ni too personal hata kama ndugu wanaweza kuhusika.sasa huyo ndugu yako akiamua kufanya hiyo biashara hutaweza kumzuia