MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
- Thread starter
-
- #101
Mungu hufanya Kazi zake pale mtu anapokua amejisahau kabisa. Ndio maana katengeneza usingizi. Utakuja kuikumbuka hii thread ukiwa kwà Mwamposambona mwaka mbali sana kwanini usiseme kesho?
Sema AYAYAYAWote wanyakyusa alafu.
kwani birthday cake ndio mwamposa? Hizi kitu dini na birthday wametuletea wazungu/ waarabu zinatupa shida sasa.Ilikua semina ikiruka live via Upendo TV ,...note: aliongea mwishoni wakati watu wakitaka kutoa sadaka...kwà ufupi sana...kama kuwataadharisha wasijihusishe na mambo ya birthday cakes....
hawa wanyakyusa mwakasege, mwamposa, lusekelo...wote wanadoma bibilia unaitafsiri vipi hii huduma kwa watu/ waumini wako. wengi hatusomi, hatuna kalama, hatuisishi na maisha yetu ya sasa na yajayo, hatusimami na neno. Tujifunze kuchukua mema kuyasimamia na kuyatenda kwa imani ili tuziponye nafsi zetu.Mwalimu wa SHERIA au sio? Kama wale viongozi wa dini waliowaconvis waumini waseme YESU asurubiwe......#Teachers of the Laws.....ambao walikua hawajui hata kuzaliwa mara ya pili maana yake nini....
Sababu wajinga ni wengijJanja janja au sio? Is that what you mean? Kama ni Kazi rahisi....jaribu na wewe basi?!! Nyomi lote lile?
Nakumbuka hata Herod alionaga wivu kwà YESU...alijua kabisa ...akiwa mkubwa watu watakua wakifuata mara kwà mara...
Weeee Mama SAMIA hawezi kujaza uwanja wa mkapa kiasi kile ....mfxxxx we unafanya mchezo nini?
God oftenly, uses the foolish things to shame the wise.Sababu wajinga ni wengij
Huyo ni tapeli, ndo maana amekazaia wanawake maana hata shetani aliwadanganya waoGod oftenly, uses the foolish things to shame the wise.
Kule ambako unaona kuna mijinga mingi ndo huwa yuko Mungu.
Sema "AYAYAYA"
Ma mtu yaliyosoma Makoko Seminary utayajua tu!!!... ubundi umekuathiri sana dogo....punguza kula viaga dogo!!!Acha kumfananisha Mwl Mwakasege na huyo tapeli Mwamposa.
Leo kuna semina ya Wamama wenye mimbaHuyo ni tapeli, ndo maana amekazaia wanawake maana hata shetani aliwadanganya wao
Upo mbali sana na Nuru. Ondoka gizani.Hahahahahah Mwakasege bana.....
Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwà waumini wake kisirisiri......afu akimaliza anawaomba sadaka.
Kuna siku nilimsikia akisema...siku akitoa somo la birthdaycake..watu watashangaa sana....akasema ni mambo ya giza na ya ajabu sana...afu baada ya hapo akachomekea...watoe sadaka....nikabadiri kabisa na chanel yake...
Hivi mnapata nini kuchonganisha waumini? Mbona Mwamposa huwa hawasemi vibaya kama mnavyomsema?
Sema nini....sio case...Mwamposa anaupiga mwingi sana...mtasubiri saaaaana!!!
Kama mmenielewa semeni ..." AYAYAYA!!!!"
Je,umeokoka?Jamaa simuelewagi kabisa mafundisho yake...is like...mtu ambae kasoma kitabu cha THINGS FALL APART afu anakuja kutusimulia kilichoandikwa kwenye hicho kitabu kwà kutumia Akili yake.
Hizi story kitambo sanaJe,umeokoka?
Yesu ni Bwana na Mwokozi kwako?
How beautiful are the feet of those who know the truth of God.Upo mbali sana na Nuru. Ondoka gizani.
Je,umeokoka?Hizi story kitambo sana
Umeokoka mara ngapi bro?Je,umeokoka?
Yesu ni Bwana na Mwokozi kwako?