Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

So kumbe mnakubali kuwa jamaa ni mtu ambae anawapa ukweli wa kwenye vitabu...ambao mtu yeyote anaweza kujifungia akasoma na akaupata tu kirahisi? Acheni uvivu...

Tafuteni Ufalme wa Mungu na haki zake....mtaijua kweli kutoka kwenye sauti yake. Hata mkisikia yeyote mwenye sauti ya Mungu mtajua anachokisema ni kweli.
 
Ebu sema alimpondaje ?

Nb mwakasege hana waumini na hana kanisa,ukiona mkutano wake jua amealikwa,kaitwa,au semina

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikua semina ikiruka live via Upendo TV ,...note: aliongea mwishoni wakati watu wakitaka kutoa sadaka...kwà ufupi sana...kama kuwataadharisha wasijihusishe na mambo ya birthday cakes....
 
Mwaka Jana Mwamposa alifundisha Kuhusu "Hekima ya Mungu", kwa mwezi mzima sijui kama ulipokea chochote kutoka kwenye hilo somo,unahitaji kuomba sana hekima,siioni hekima yako katika hiki ulicholeta hapa.
 
Hivi uko na akili timamu then unamwamini huyo jamaa!!!
 
Juu kasema aliacha kufatilia muda mrefu hapa kasema juzi ndo akaenda dar kwa semina nyingine.... Mara zingine hata ukiamua kuwa chawa akili zako tumia pia
Siwezi kupoteza muda mwingi kumuangalia Mwakasege....ujue mambo mengine hutokea kama Coincidence tu au kama intervention tu....nilikua naperuzi channel nikamkuta yupo live...ile naanza kumsikiliza....si ndo akamponda mwenzake..aah nikaona bure Kabisa...nikalitoa hilo lichanel
 
Wewe ni chizi au chawa wa watu wa miujiza
 
Mmh mpaka wanaume mnamshabikia mwamposa?
Aposto kuna muujiza huku?

Nini kimetokea?

Huyu baba alikua anasema umeme ulikua umekatika.....


Umerudi?...ndio aposto.....umefurahi?....sema AYAYAYA!!!!
 
Hapo ni mwalimu wa injili vs tapeli la kula pesa za kinamama,hilo kanisa lake n mengineo ya mwendo kasi sijawahi kuona tajiri akitolewa mapepo au kuanguka
 
Mwakasege ni Mwalimu, mkweli, na mtu wa dini. Huyo mwingine ni tapeli tu kama matapeli wengine
Mwalimu wa SHERIA au sio? Kama wale viongozi wa dini waliowaconvis waumini waseme YESU asurubiwe......#Teachers of the Laws.....ambao walikua hawajui hata kuzaliwa mara ya pili maana yake nini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…