wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,211
Source A: MeditationTatizo unataka ligi, naamini zaidi katika mafundisho ya kitabu zaidi ya miujiza.
Sema "AYAYAYA"ππππ’ π¦π°ππ¦π©π¨π¬π π§π’ π¦ππ¨ππ¨ π¬ππ§π π€π°π π¦π°ππ€ππ¬ππ π π£ππ©π¨ π°π¨ππ π°ππ§πππ¨π€ππ π¦πππ²π
Ubarikiwe sanaUkiona wachungaji sijui manabii wanasemana sababu kuu ni sadaka ila kila mtu na imani yake bwana mwakasege namkubali sanaa na mwamposa pia ila kusali kanisa langu kkkt siachi
Source A: Meditation
1. Knowledge 2. Wisdom 3. Understanding 4. Revelation
Source B: Manifestation
So usikubali kugandishwa kwenye hatua ya KWANZA kwΓ muda mrefu.
Jiulize , ni lini utapata uwezo wa kumuombea hata mtoto wako akapona?
Wataendaje wasipopelekwa? Sadaka ni lazima . Semina zitaendeshwaje bila sadaka? Kun gharama nyingi katika kuendesha semina na uzuri mtu halazimishwi ni jinsi utakavyowiwa kutoa.Wote wapigaji tu,wambie wafanye hayo mahubiri bila sadaka uone kama watafanya. Pesa ndo inawamotivate.
1. Sickness 2. Diseases 3. Illness 4 . MaladyOmba tu upewe roho mtakatifu tu akuongoze, mshukuru Mungu. Mtoto ukiona ana homa mpeleke hospitali ujue anatatizo gani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote wapigaji tu,wambie wafanye hayo mahubiri bila sadaka uone kama watafanya. Pesa ndo inawamotivate.
Wote hao ni kundi moja. False prophets.Hahahahahah Mwakasege bana.....
Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwΓ waumini wake kisirisiri......afu akimaliza anawaomba sadaka.
Kuna siku nilimsikia akisema...siku akitoa somo la birthdaycake..watu watashangaa sana....akasema ni mambo ya giza na ya ajabu sana...afu baada ya hapo akachomekea...watoe sadaka....nikabadiri kabisa na chanel yake...
Hivi mnapata nini kuchonganisha waumini? Mbona Mwamposa huwa hawasemi vibaya kama mnavyomsema?
Sema nini....sio case...Mwamposa anaupiga mwingi sana...mtasubiri saaaaana!!!
Kama mmenielewa semeni ..." AYAYAYA!!!!"
Mwakasege sio Prophet kijana acha mihemukoWote hao ni kundi moja. False prophets.
Lakini Sasa MWAKASEGE ashakusanya sadaka tangu enzi hizoooo. Mwamposa hawez mfikia kamweeHahahahahah Mwakasege bana.....
Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwΓ waumini wake kisirisiri......afu akimaliza anawaomba sadaka.
Kuna siku nilimsikia akisema...siku akitoa somo la birthdaycake..watu watashangaa sana....akasema ni mambo ya giza na ya ajabu sana...afu baada ya hapo akachomekea...watoe sadaka....nikabadiri kabisa na chanel yake...
Hivi mnapata nini kuchonganisha waumini? Mbona Mwamposa huwa hawasemi vibaya kama mnavyomsema?
Sema nini....sio case...Mwamposa anaupiga mwingi sana...mtasubiri saaaaana!!!
Kama mmenielewa semeni ..." AYAYAYA!!!!"
Kuhusu Sadaka....hilo usiongee kabisa. Mwamposa ni tajiri....yani sio poa...ni maB na maBrrrrrrrLakini Sasa MWAKASEGE ashakusanya sadaka tangu enzi hizoooo. Mwamposa hawez mfikia kamwee
Hujui unenalo, omba rehema unyamaze au kubali kujifunza unakosea sana.Jamaa anafundisha kweli ya Mungu ( experience )
Mwakasege yeye anafundisha kweli ya Neno ( History )
And remember, experience is the best teacher.
Nina nena ninachokijua...na ninashuhudia ninachokiona.Hujui hunenalo, omba rehema unyamaze au kubali kujifunza unakosea sana.
Sema yote...but issue ipo kwenye Neno la Mungu. Neno ni lile lile na litasimama milele na milele.Mmoja ana karama ya ualimu/kufundisha, mwingine ana karama ya uponyaji/kutoa mapepo majini n.k
Mmoja anahubiri nafsi za watu ziokoke, mwingine mahubiri yake ni juu ya kupata utajiri na jinsi ya kujikinga na wachawi wasikudhuru kwenye biashara, kulinda vyeo na nafasi ya kazi mtu aliyonayo.
Mmoja anauza vitabu vyenye mafundisho ya kiroho ya kukujenga kiimani, mwingine anauza maji na mafuta kama kinga dhidi ya pepo wachafu na watu wabaya
Wote wanatumia jina Yesu katika mafundisho , ila wamegawana karama za kitumishi..swali ni, yupi Gugu na yupi ni Ngano?
Basi mtume amemzidi MWAKASEGE sababu anatumia teknologia ya tehama, MWAKASEGE yupo NYUMA sana kidigitali. Hakika Dunia ipo kiganjaniKuhusu Sadaka....hilo usiongee kabisa. Mwamposa ni tajiri....yani sio poa...ni maB na maBrrrrrrr
KwΓ taarifa YAKO...
Sasa anataka kununua Big Screens na kuzifunga kwenye Stadiums za kila Mkoa....watu watakua wanakwenda pale siku za Jumapili kusali. Atatuma mapastor wasaidizi wake....kwenye mikoa hiyo....kwΓ maelekezo maalumu. Watu watakua wanaombewa na kutendewa miujiza live .
Then....from MaB to MaT, within a very short time.
Mtume kwasasa ni Tajiri namba Moja Tz.
Sawa, we endelea kubisha bana, sikulazimishi kuamini!