Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,131
- 41,808
Ss kwenye manifestation ndo uwafananishe?🤣Sijakataa, hata wewe unaweza kuwa hivyo , ...jifungie na uwe serious kusoma bible. Issue ni manifestion ya hilo Neno.
Nimeokoka kitambo sana....na nilishaivuka stage ya kusema YESU NI MWOKOZI WANGU....Umeulizwa umeokoka?
Mwamposa au sio?Sawa sawa na ulivyoanza kuandika, namsikiliza sana huyo numberiii one.!!
Je Neno nalo ni tofauti?Bado hata huelewi mambo ya huduma,acha kuongea usiyoyajua,Hawa watu Wana huduma tofauti na utendaji wake tofauti ss unafananisha kitu gani?
Yes,anatufanya watu tunajua kujisimamia ,tusitegenee watumishi na makanisa !I trust the teacher more
God works in a mysterious ways. Ndo maana Yesu akawaambie wale jamaa...wanaweza shangaa Makahaba wako mbinguni na wao wakawa hawako mbinguni...Inawezekana muha pia ila tz hamna udini wala ukabila.
Tunaeleweshana kwa hoja.
Chamsingi soma tena Biblia na uombe. Nishakuelewa hujui hata kama unachokiaminj kinakupeleka wapi.. na nini unatakiwa ufanye uende mbinguni.
Kama ndo aliyeanza kuandikwa kwenye hiyo heading basi ndie.Mwamposa au sio?
Kwani Kuna makanisa,watumishi ,huduma ngqpi?Je Neno nalo ni tofauti?
Je umewahi kumsikiliza vyema Mwamposa? Au bendera fuata upepo....I mean,...I trust the teacher more
Imagine angekua ana kanisa na yeye. Do you think ungemuelewa hivyo? Au hujagundua kuwa anasema hayo kwasababu na yeye anajisimamia na kujitegemea? #WakeUpYes,anatufanya watu tunajua kujisimamia ,tusitegenee watumishi na makanisa !
Ni yeyeeee.....Sema AYAYAYA [emoji23][emoji23][emoji23]Kama ndo aliyeanza kuandikwa kwenye hiyo heading basi ndie.
Wengi magumashi....full kupoteza muda wa watu. Wakina Mgogo...full kuchekesha watu....kuhubiri vile vitu ambavyo watu wanataka wavisikie. Bure kabisa!!!Kwani Kuna makanisa,watumishi ,huduma ngqpi?
Vipi zote unaona zinafanya kazi Kwa kufanana?
Na neno ni lile lile!
Tuanze hapa?
Teh.! The.! We mfuasi umenichekesha sana.!!Ni yeyeeee.....Sema AYAYAYA [emoji23][emoji23][emoji23]
Je umewahi kumsikiliza vyema Mwamposa? Au bendera fuata upepo....I mean,...
Tangu umeambiwa kuwa Mwamposa ni freemason, ukashindwa kujihakikishia mwenyewe...kabla haujamuhukumu
ACHA uoga,..."ACHA KULIA ANZA KUAMINI"I said i trust the teacher more, i am not in the position of judge who is a true man of God and who is not.
ACHA uoga,..."ACHA KULIA ANZA KUAMINI"