S svoca JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 373 Reaction score 70 Dec 24, 2015 #1 Husika na kichwa hicho cha habari,nina mdogo wangu ni mwl wa sekondar yupo bahi Dodoma anataka wa kubadilishana nae maeneo kama hayo msaada wadau.
Husika na kichwa hicho cha habari,nina mdogo wangu ni mwl wa sekondar yupo bahi Dodoma anataka wa kubadilishana nae maeneo kama hayo msaada wadau.
L lubamba JF-Expert Member Joined Jan 13, 2015 Posts 947 Reaction score 618 Dec 24, 2015 #2 mzee sikukatishi tamaa.Ulishawahi kufika walau Bahi mjini?
T The Poul Senior Member Joined Sep 22, 2015 Posts 111 Reaction score 19 Dec 24, 2015 #3 svoca said: Husika na kichwa hicho cha habari,nina mdogo wangu ni mwl wa sekondar yupo bahi Dodoma anataka wa kubadilishana nae maeneo kama hayo msaada wadau. Click to expand... We bakia huko huko ugogoni!, unataka uende pwani?. Otea jua la Dodoma mpaka uwe kama mkaa. Huko walahi hupati mtu labda awe mgogo wa huko huko. Endelea kubembeleza labda watakuonea huruma
svoca said: Husika na kichwa hicho cha habari,nina mdogo wangu ni mwl wa sekondar yupo bahi Dodoma anataka wa kubadilishana nae maeneo kama hayo msaada wadau. Click to expand... We bakia huko huko ugogoni!, unataka uende pwani?. Otea jua la Dodoma mpaka uwe kama mkaa. Huko walahi hupati mtu labda awe mgogo wa huko huko. Endelea kubembeleza labda watakuonea huruma